Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Huku roho inakuuma[emoji23][emoji1787]Hongera kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku roho inakuuma[emoji23][emoji1787]Hongera kwake
Mimi Yanga bhana!!Na wewe unataka kama hiyo?
Hivi mkuuu maisha yeye Magufuli anayoish na watumishi wa nchi hii ndivyo wanavyoishi? Magufuli ana roho mbaya sana,watumishi tunafanya kazi mnoo lakini hata mia haongezi ,yaani hana shukrani wala imani .Watumish wakati mwingne tunamuombeaga mabaya kabisaaa.
Ungejua hata punje tu siumii hata usinge sema.. lissu mi namkubali Kama mtu anaeweza kuleta hoja na kuzitetea tatizo uwasilishaji wake!.. anawasilisha Kama anachamba na mihemko!!.. anafit kuwa Challenger ila sioni kufit Kama kiongozi..Huku roho inakuuma[emoji23][emoji1787]
YaleyaleeeUngejua hata punje tu siumii hata usinge sema.. lissu mi namkubali Kama mtu anaeweza kuleta hoja na kuzitetea tatizo uwasilishaji wake!.. anawasilisha Kama anachamba na mihemko!!.. anafit kuwa Challenger ila sioni kufit Kama kiongozi..
Huko tutakuja kwenye kampeni mkuu. Yani ni balaa watu wamechoka kudadadeki. Magufuli umewafanya nini watanzania?Lissu ni kama Yesu alivyopokelewa kwa shangwe akiingia Jerusalem. Kweli Lissu tulikumiss sana. Usisite kufika Mbeya, Kyela, Vwawa na Tunduma.
Tulia dawa ikuingie..🤣🤣Yaleyaleee
Halafu wanasema eti Atakatwa ili membe apite Nani anaoga sifa za kuwa RaisHongera kwake
Pamoja na mbinu za wajumbe kupiga Kura sitini bado wakati huu watachemka madudu no mengi mno.Tunaupenda sana upinzani. Ila tunajindanganya sana kuhusu haya mafuriko .
Haya mafuriko yanatudanya sana jamani, mafuriko haya yalikuwepo toka enzi na enzi ila hayana tija.
Tumekuwa na mafuriko enzi za mrema nk lakini hayakuwahi kusaidia kushika nchi.
Tujiulize je ilikuwaje uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji, ilikuwaje kuhusu vijana kwenda kuboresha daftari la kupiga kura. Kama wenzetu ccm walifanya vizuri kwrnye sekta hiyo tutegemee siku ya kura ukienda kupiga kura kutokuona jina lako halafu udhani umeibiwa,kura kumbe atukutoa kipa umbele kwenye vitu vya msingi.
Cahdema Tehama saaa mnatutendea haki wafuasi na wapenzi wa chama. Watanzania tunaendelea kufurahi.
Kwani unazani peke yako mkuu?Lissu anakura yangu kibindoni.
Anashangilia kuteleza kwenye barabara zilizojengwa chini ya Jembe Magu! Kwa upumbafu baadae anasema hakuna kilichofanyika! Huyu ni mpuuzi kweli kweli!
Hivi hawa wanaojaa hawaoni kasi ya JPM kweli?Hahhaha.. Makamanda mnapagawa na mafuriko bado?
Hayo hata enzi za Slaa yakikuwepo mara mbili yake
imeisha hiyo Magogoni October!
Zinamuuma Nini ss wakati huyo mtetezi wenu wa mashoga na mabeberu anayepitakwenye hizo barabara ndio nafsi yake Kama bado inauhai itakuwa inamsuta saana! Vinginevyo ni liroboti lililokuwa 'programmed' kupinga Kila kitu! Ni aibu kwa mwenye akili timamu hata kushiriana na mpuuzi huyu!Kuna mtu kakataza walinzi wake wasimuonyeshe hizi picha, zinamuuma kichizi.