Lissu apunguze hasira na malipizi, atapendwa na wengi

Na Mh Halima Mdee kamweleza ukweli juzi juu ya uchu na tamaa ya madaraka alonayo kibaraka pale Chadema, basi ndio akapanic na kuongeze mihemko maradufu hotuba nzima anamjibu Halima Mdee tu 🤣🐒
 
Lissu siyo liability. It is absurd kusema Lissu ni liability. Lissu sasa hivi anaelekea kuwa God's gift to Tanzania. Amefanya kazi kubwa sana kuwaamsha Watanzania.
Lakini sielewi kwa nini TAKUKURU waende Chadema kuchunguza "hela chafu" Mbowe ndiye mkubwa. Yeye ( Mbowe) amewaita?
Lakini it is true,watu lazima waache chuki na siasa za kutaka kulipiza kisasi.
Vengeance is mine,saith The Lord".
" Hela chafu" vipi? Kuna mtu kalawitiwa kapewa hela?
Tuache haya maneno maneno,minong'ono.
 
Sure CCM imeharibu sn wananchi kila kitu kimefanywa kuwa ni hisani ya Rais
 
Joined 2/4/2024 , Ndio maana hujui hata kuandika.

Hujulikani unamzungumzia Lissu Binafsi au unazungumzia Chadema, na wala haijulikani kama unazungumzia ACT, huwezi kujaza kila kitu kwenye uzi mmoja ukaeleweka.

Bali kwa kukusaidia tu ni kwamba, Hakuna Kitabu chochote cha Mungu kilichoelekeza kumsamehe Shetani.
 
Wewe unapenda sana mapinduzi,jaribu kupanga wala hamna shida.
 
Utasubiri sana!.
P
 
Sijui kuhusu lisu kuwa mzalendo au kutokuwa mzalendo. Ila nilichogundua ni kwamba lisu akipoa na Tanzania inapoa, lisu akiongea na Tanzania inaongea. Bila kujaki amekubana kwenye angle mbaya au nzuri kwako ila utaongea tuu.
🤨ivo yaan👊
 
Labda watuzidi kwa uchawi.
 
Milio ni mingi sana, na mtaitoa ya kila aina, yaani hadi mseme.
Lissu nyeusi kwake ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Umpende usimpende atabaki kuwa hivo. Watu wa aina yake ambao sio wanafiki hawazidi watatu nchi hii. Wengine nyie ni wanafiki na watu wa kujikombakomba.
Lissu shikilia hapo hapo mpaka wote watoe mlio wa koboko.
Wengine wanakwenda na historia eti Lissu ni mdogo wangu, nilisoma nae, so what??????????
Nchi hii inatakiwa kukombolewa. Fikra zenu finyu za kiccm ni lazima mziache na tuelezane ukweli. Tanganyika italetwa na watu majasiri na sio wenye kauli za kujikomba kama nyie.
 
Tatizo Lissu anaongea mambo msiyopenda ndo tatizo
Umeona eh.Wao wanajifanya walimu wazuri endapo Lisu ataanza kumsifia Mama na Serikali iliyopo halafu baadaye aje nakauli kuwa Mheshimiwa Rais sisi Chadema tunakuomba Mtukufu Rais ututengenezee Katiba Mpya.
 
Tundu LISSU piga hapo hapo katikati naona madondola, nyokaa wanaanza kutoka kwenye shimo na wanaanza kukuelekeza namna ya kuwachokonoa yaani maelekezo kama haya yaishie hukoo kwenye mapenzi
hahahaa heshima kwako asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…