Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvumilivu mwingine hauna faida.Uongozi wa nchi hautaki hasira tunawapima sana km watafaa kuongoza nchi yetu.
Kumtangulia Lisu kidato sio kama ww una akili kumzidi! Nadhani ni kuwahi tu kwako kuzaliwa au kuandikishwa shule, kuhusu kuyaita maridhiano ni ujinga we uoni kuwa yupo sahihi? kama sio ujinga na kupoteza muda hayo maridhiano yamezaa nn mpaka sasa? Tatizo nililogundua ni kuwa watz wengi hawajajua kuwa lissu yupo hatua tofauti na watz wengi! yaani unaweza kusema yupo sayari nyingine na watz, kiuwelewa, utayari kufanya jambo, kuona mbali , kukifahamu chama tawala vizuri, mipango yao ya kushika dola mpaka milele! watz tulio wengi bado kifikra tupo enzi za Mwl. Mwenzetu lisu katoka huko ndio maana tunamuona mtu tofauti na wengine.Mkuu @tripod, kwanza hongera sana kwako binafsi, jf kuwa na mtu mwenye akili, busara za vision kama wewe ni baraka sana kwa jf, kwasababu busara za kiwango hiki ni za kutafuta kwa tochi humu jukwaani.
TL ni mdogo wangu pale Ilboru, nimeingia Ilboru A level, TL akiwa O level.
Nimemshauri sana humu, hadi nikauliza Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
P