Mkuu @tripod, kwanza hongera sana kwako binafsi, jf kuwa na mtu mwenye akili, busara za vision kama wewe ni baraka sana kwa jf, kwasababu busara za kiwango hiki ni za kutafuta kwa tochi humu jukwaani.
TL ni mdogo wangu pale Ilboru, nimeingia Ilboru A level, TL akiwa O level.
Nimemshauri sana humu, hadi nikauliza
Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
P