Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mambo mawili hapa:Kwanza nitangaze Mgongano wa Maslahi kwamba mimi pia ni Shabiki wa Lissu,
Una ushahidi?tatizo ni Mbowe,
isu anakwenda kuishia kama mrema! time will tell!Tuwe wakweli tu, tatizo ni Mbowe, kwa mazingira yalivyo unaweza kuweka kikao cha kumjadili mwenyekiti kula rushwa? Inawezekana njia ya Lisu kuweka ukweli hadharani sio nzuri, lakini ndio njia pekee. Mbowe akubali tu wakati ukuta, apishe wengine kwa sasa.
Kwanza nitangaze Mgongano wa Maslahi kwamba mimi pia ni Shabiki wa Lissu, naheshimu mchango wake katika kupigania mabadiliko ya nchi hii na natambua na kuheshimu gharama alizolipa kwa kwa kazi hiyo kwa ajili ya Taifa hili.
Ila siku za Karibuni ameanza kufanya Siasa fulani hivi za kutuhumu Viongozi wake hadharani masuala ya Rushwa bila ushahidi wa moja kwa moja jambo ambalo nadhani kisiasa lilipaswa kushughulikiwa katika Vikao vya ndani vya Chama.Ninajua Lissu anafahamu kuwa maneno yake yanaharibu taswira ya Viongozi wenzake na Chama chake ingawa yanamjenga yeye Binafsi.
Ninafahamu CCM kwa muda mrefu wanafanya jitihada za kumuondoa Mbowe bila mafanikio na ni kwasababu wanajua Nguvu ya Mbowe katika Uimara wa CHADEMA, na inaeleweka Propaganda nyingi wanaanzisha wao ikiwemo ya kuwagonganisha Lissu na Mbowe kutengeneza Mpasuko na kuisambaratisha CHADEMA.
Tukumbushane CCM imechokwa CHADEMA haijipangi ila tunahitaji Upinzani imara,kuanguka kwa CHADEMA ni hasara kwetu wote siyo kwa Lissu na Mbowe tu kwasababu ndiyo Voice ya Voiceless pekee iliyobaki.
Naomba walioko Karibu na Lissu wamshauri atumie Vikao vya ndani kuepuka kuimarisha Propaganda za CCM na kukidhoofisha Chama chake.
Yanga Bingwa.
Anakwenda kupita kama Mrema na wengine....Lisu ameamua kumwaga ugali
Una ushahidi, uweke hadharani...it seems wewe ID hii ndiwe Lisu! 😀 😀 😀 😀anakula hela za Samia
My point ni: kuna wakati wa kusema ukweli hadharani na kuusema faragha!Leo nimekuwa chawa kwa kuwa tu nimeandika ukweli usiopenda!??
CDM ikiendelea kulea watu namna yako, itatukimbiza wengi tunaoipenda,kuiamini na kuisaidia kuing'oa CCM.
Huyo kiongozi kwanini hamtaji anatoka tu hadharani na ngonjera? Mbona Abdul kamtaja? Anamaslahi gani kwa kumficha huyo kiongozi?! UpumbafuLissu alidai Abdul alienda nyumbani kwake na mmoja wa viongozi wa Chadema kutaka kumuhonga apunguze ukali kwa madam presso sasa anyamaze maana huyo aliyempekeka ni dhahiri mla rushwa.
Huyu kama hajatumwa basi kaamua tukose wote yeye akimbilie UbelgijiMy point ni: kuna wakati wa kusema ukweli hadharani na kuusema faragha!
Unausema hadharani unajibomoa, unakigawa chama, is this akili njema?
Unajua kabisa kuwa kuna adui wako CCM and will bank on that kukubomoa.....unakomaa na kushupaza shingo eti unasema ukweli. Unatoboa mtumbwi uliopanda, UTAZAMA.
HAKUNA ANAYEPENDA RUSHWA, IKEMEWE KWA NGUVU LAKINI YOU HAVE TO CHOOSE THE SAFE WAY TO DO THAT! SIIPENDI RUSHWA LAKINI UKIIKEMEA HAPHARZADLY, UTAJIBOMOA Erythrocyte
Mbowe amewashika sana vijana njaa ,hata ukitokea uchafu hawakubali tofauti yao na vijana wa CCM ni rangi ya sare zao.Upinzani ili uwe imara, unahitaji Siasa za kiaharakati Kwasababu ndizo zenye kubeba Hisia, na MTU pekee katika Hilo ni LISSU.
Siasa za mbowe, na genge lake, zinaifànya CDM ionekane ni TLP tu au CCM B
Aliekwambia kua ccm imechokwa nani ??Kwanza nitangaze Mgongano wa Maslahi kwamba mimi pia ni Shabiki wa Lissu, naheshimu mchango wake katika kupigania mabadiliko ya nchi hii na natambua na kuheshimu gharama alizolipa kwa kwa kazi hiyo kwa ajili ya Taifa hili.
Ila siku za Karibuni ameanza kufanya Siasa fulani hivi za kutuhumu Viongozi wake hadharani masuala ya Rushwa bila ushahidi wa moja kwa moja jambo ambalo nadhani kisiasa lilipaswa kushughulikiwa katika Vikao vya ndani vya Chama.Ninajua Lissu anafahamu kuwa maneno yake yanaharibu taswira ya Viongozi wenzake na Chama chake ingawa yanamjenga yeye Binafsi.
Ninafahamu CCM kwa muda mrefu wanafanya jitihada za kumuondoa Mbowe bila mafanikio na ni kwasababu wanajua Nguvu ya Mbowe katika Uimara wa CHADEMA, na inaeleweka Propaganda nyingi wanaanzisha wao ikiwemo ya kuwagonganisha Lissu na Mbowe kutengeneza Mpasuko na kuisambaratisha CHADEMA.
Tukumbushane CCM imechokwa CHADEMA haijipangi ila tunahitaji Upinzani imara,kuanguka kwa CHADEMA ni hasara kwetu wote siyo kwa Lissu na Mbowe tu kwasababu ndiyo Voice ya Voiceless pekee iliyobaki.
Naomba walioko Karibu na Lissu wamshauri atumie Vikao vya ndani kuepuka kuimarisha Propaganda za CCM na kukidhoofisha Chama chake.
Yanga Bingwa.
Una akili CarloUpinzani ili uwe imara, unahitaji Siasa za kiaharakati Kwasababu ndizo zenye kubeba Hisia, na MTU pekee katika Hilo ni LISSU.
Siasa za mbowe, na genge lake, zinaifànya CDM ionekane ni TLP tu au CCM B
Utumbo huu tuchanganye na mboga gani za majaniMambo mawili hapa:
Kwanza, japo wewe ni shabiki wa lisu, lakini inaelekea humjui lisu ktk uhalisia wake. Lisu ni aina ya watu wasioshaurika. Yeye hujiona anajua kila kitu, na anajua kuliko watu wengine wote. Mtu wa aina hiyo huwezi kumshauri kitu chochote.
Pili, kwa kuwa wewe ni shabiki wake, nadhani wewe na washabiki wake wengine ndio mko kwenye nafasi nzuri zaidi ya kumshauri (kama atasikiliza ushauri wenu). Unataka nani amshauri kama siyo nyie washabiki wake? Unataka sisi tusiomshabikia ndio tumshauri?
Btw, hiyo mikosoo yake kwa chama chake ni mikakati ya kuelekea 2025, ambapo yeye tayari ameshajitangaza kuwa mgombea. Anajitafutia umaarufu ili muda ukifika apite kwa kishindo!
Kumbe wewe ni chawa wa mbowe?Anakwenda kupita kama Mrema na wengine....
Kuna wakati wa kusema ukweli na wakati wa kuusema ukweli faragha, maana unaangalia useme ukweli wapi! Mke wako akizini huwezi kusema hadharani kuwa Mke wangu amezini na fulani, utaoneka kichaa! Unasema faragha, then ikishindikana unajitoa kwake.
sasa Lisu anazamisha mtumbwi aliopanda! Atazama
Usipokuwa muumini wa ukweli, msimamo wako ni rahisi kuyumba. Kwani kuna ulazima gani wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti tena kwa muda aliokaa madarakani? Nasisitiza kwa sasa Mbowe ndio tatizo halisi ndani ya cdm. Sipingi unachoamini, lakini taasisi inayotegemea kiongozi king'ang'anizi wa madaraka aina ya Mbowe ni ngumu pia kupata mafanikio.Una ushahidi, uweke hadharani...it seems wewe ID hii ndiwe Lisu! 😀 😀 😀 😀
Ukiona ukweli unasemwa hadharani, ujue humo ndani ukweli haupewi nafasi, hasa ukweli huo unapotaka kuusema uwe sio unaotakiwa na mwenyekiti.My point ni: kuna wakati wa kusema ukweli hadharani na kuusema faragha!
Unausema hadharani unajibomoa, unakigawa chama, is this akili njema?
Unajua kabisa kuwa kuna adui wako CCM and will bank on that kukubomoa.....unakomaa na kushupaza shingo eti unasema ukweli. Unatoboa mtumbwi uliopanda, UTAZAMA.
HAKUNA ANAYEPENDA RUSHWA, IKEMEWE KWA NGUVU LAKINI YOU HAVE TO CHOOSE THE SAFE WAY TO DO THAT! SIIPENDI RUSHWA LAKINI UKIIKEMEA HAPHARZADLY, UTAJIBOMOA Erythrocyte
Yanga na CCM ni sawa sawa tu kaka, otherwise, mada yako iko valid kwa upande wakoYanga Bingwa.
Lissu anafanya siasa za ukweli anajaribu kukiokoa chama kirudi kwenye misingi yake ya hapo awali kupinga vita ufisadi, rushwa, kudai katiba mpya, tume huru, chaguzi huru za haki ndani ya chama na nje ya chama.Kwanza nitangaze Mgongano wa Maslahi kwamba mimi pia ni Shabiki wa Lissu, naheshimu mchango wake katika kupigania mabadiliko ya nchi hii na natambua na kuheshimu gharama alizolipa kwa kwa kazi hiyo kwa ajili ya Taifa hili.