Lissu ashauriwe kama ana ndoto za kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ni Karata yake muhimu sana asimuache

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
576
Reaction score
876
Ni mjinga pekee ndiyo anaweza kuunderestimate Nguvu ya Mbowe ndani ya CHADEMA, Namshauri Lissu awamu hii akubali amekosea hesabu zake za kisiasa na ni wazi hatamuweza Mbowe atashindwa ila anaweza kurekebisha Makosa baada ya awamu hii kama kweli bado atakuwa anahitaji kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kipindi Mbowe anang'atuka.

Siasa ni sayansi siyo porojo au maneno makali pekee,Kiukweli kwa jinsi Mbowe alivyoijenga CHADEMA na kuweka Mizizi huwezi kukurupuka na kuona Mbowe si lolote si chochote ndani ya CHADEMA ukategemea kushinda haitakuwa rahisi, ni muhimu kutambua na kuheshimu hiyo nguvu yake na kuangalia namna ya kuiingiza katika timu yako ya Kampeni.

Kwahiyo kama Lissu atakuwa anahitaji kuwa Mwenyekiti aachane kabisa na hayo mambo yake ya kumtukana,kumdhalilisha,kumtweza,kumfedhehesha nk amlete Karibu amuombe amsaidie kufikia azma yake hiyo.

Na Kampeni ni Field siyo Mitandaoni pekee,Lissu aingie front Vijijini kama Mbowe akajenge Chama huko atengeneze Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa kutosha huku kwenye Uchaguzi wa Taifa awe anamalizia tu Uchaguzi.

Haya ni maoni na mawazo yangu tu ila kama ataendelea kuwasikiliza hao akina Msigwa,Lema na Heche basi ni juu yake waendelee tu kumshambulia Mbowe kwa Mikutano,Interviews na Mitandao watapata Kiti.

Ni Mtazamo tu masela msijenge Chuki,Povu linaruhusiwa kabisa.
 
Uchaguzi ni kesho kutwa tarehe 21 kwa nini tusifanye subira kuwaacha wajumbe wafanye kazi yao?
 
Na anahitaji kubadilika sana kitabia… CDM ni chama kikubwa sana na kimekua mithili ya Kokoro sasa si rahisi kuwa na watu wenye haiba na tabia moja. Inahitajika busara kubwa sana kuiongoza na kusimamia.

Huu uchaguzi umetupa wengi fursa ya kuwajua watu! Lissu hakujipanga kwa huu uchaguzi zaidi ya kuja kwa kuitaka Shari!!
 
Lissu anaangukia pua!!! Mitandao imempa bichwa kubwa sana akaingia kishari!! Hata Kama kwenye chama kuna makosa huwezi kuichafua taasisi kwa namna ile!! Huwezi gombana na mkeo ndani kisha ukaja kuyamwaga madhaifu yake hadharani!! Lissu kaonesha utoto wa hali ya juu sana!!
 
Ni baada ya mbowe kufika bei na kuwa nusu ccm
 
Alisema aliamua kugombea nafasi ya mwenyekiti BAADA ya kuona wenje amechukua ya makamu mwenyekiti.ina maana uwenyekiti hakujipanga kugombea ila imekua ghafla tu.
 
Ni mjinga pekee ndiyo anaweza kuunderestimate Nguvu ya Mbowe ndani ya CHADEMA, Namshauri Lissu awamu hii akubali amekosea hesabu zake za kisiasa na ni wazi hatamuweza Mbowe atashindwa ila anaweza kurekebisha Makosa baada ya awamu hii kama kweli bado atakuwa anahitaji kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kipindi Mbowe anang'atuka.

Siasa ni sayansi siyo porojo au maneno makali pekee,Kiukweli kwa jinsi Mbowe alivyoijenga CHADEMA na kuweka Mizizi huwezi kukurupuka na kuona Mbowe si lolote si chochote ndani ya CHADEMA ukategemea kushinda haitakuwa rahisi, ni muhimu kutambua na kuheshimu hiyo nguvu yake na kuangalia namna ya kuiingiza katika timu yako ya Kampeni.

Kwahiyo kama Lissu atakuwa anahitaji kuwa Mwenyekiti aachane kabisa na hayo mambo yake ya kumtukana,kumdhalilisha,kumtweza,kumfedhehesha nk amlete Karibu amuombe amsaidie kufikia azma yake hiyo.

Na Kampeni ni Field siyo Mitandaoni pekee,Lissu aingie front Vijijini kama Mbowe akajenge Chama huko atengeneze Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa kutosha huku kwenye Uchaguzi wa Taifa awe anamalizia tu Uchaguzi.

Haya ni maoni na mawazo yangu tu ila kama ataendelea kuwasikiliza hao akina Msigwa,Lema na Heche basi ni juu yake waendelee tu kumshambulia Mbowe kwa Mikutano,Interviews na Mitandao watapata Kiti.

Ni Mtazamo tu masela msijenge Chuki,Povu linaruhusiwa kabisa.
Wazo zuri sana
 
Lisu ataiuwa CHADEMA
 
Lissu anaangukia pua!!! Mitandao imempa bichwa kubwa sana akaingia kishari!! Hata Kama kwenye chama kuna makosa huwezi kuichafua taasisi kwa namna ile!! Huwezi gombana na mkeo ndani kisha ukaja kuyamwaga madhaifu yake hadharani!! Lissu kaonesha utoto wa hali ya juu sana!!
Hiyo kusema ameichafua taasisi hiyo ni tafsiri yako. Kuyasema machafu ya Chadema ambayo yanaonekana wazi ni njia ya kuisafisha taasisi ili ionekane kuwa siyo Chadema yenye rushwa bali kuna watu ndani ya Chadema ni watoa na wapokea rushwa na lazima washughulikiwe ili kukisafisha chama. Mbona mambo yalikuwa hadharani kwenye uchaguzi wa Bavicha kambi ya Mbowe walikuwa wanagawa rushwa chooni na wamekamatwa na wote tumewaona. Ishu ya kushinda au kushindwa tuwaachie wajumbe,bali kuyasema machafu ni sawa kabisa tabia ya kulindana na kuficha maovu iko huko CCM tu.
 
Lissu hatoboi hata iweje..

Nobody wants him... Watanzania huwa ni waungwana sana, hada linapokuja suala la kutukana mtu aliekubeba..

Ego na back up ya TL vinamuangusha

Wale dayaspora 30 wamemvimbisha kichwa anaenda kuangukia pua.

Na kuweka rekodi sawa baada ya uchaguzi TL atarud tena Belgium huku akiendesha harakati zake kupitia social media, hada Clubhouse na X.

TL we warned you brother.... Now game is over.
 
Nyie wanaharakati uchwara wa mitandaoni kamchomoeni Slaa kinguvu
 
TAL ndiyo mwanasiasa pekee anayeweza kufanya kampeni ya miezi miwili na kumuondoa sultan aliyeongoza miaka 21.

Tanzania hatujawahi kuwa na mwanasiasa wa aina hii ya TAL!!

Hili ni funzo kwa vyama vyote Tanzania vinavyoamini katika kuongozwa na vikongwe(wazee wanaosinzia muda wote)
 
We kima jeuri jeusi mnamponza mnyampaa!! Mitandao inamharibia sana Lissu!!
 
Lissu hatoboi hata iweje..

Nobody wants him... Watanzania huwa ni waungwana sana, hada linapokuja suala la kutukana mtu aliekubeba..

Ego na back up ya TL vinamuangusha

Wale dayaspora 30 wamemvimbisha kichwa anaenda kuangukia pua.

Na kuweka rekodi sawa baada ya uchaguzi TL atarud tena Belgium huku akiendesha harakati zake kupitia social media, hada Clubhouse na X.

TL we warned you brother.... Now game is over.
Realistically kabisa kuna mwanachama gani atamsikiliza Mbowe tena? Hata Seif alitukanwa hivi hivi leo CUF iko wapi. Chadema haijawahi kuwa this divided, hata Zitto hakufikia level hii. Kwahiyo Lissu akishindwa wala haina shida ila chadema ndio imekufa hivyo. Utakua unaona mbowe anazomewa na hao wajumbe watakimbia hadi majimbo yao.

Why mkiue chama kisa kumlazimisha Nkuruzinza aendelee kuongoza wanachama wasiomtaka. Yeye mwenyewe Mbowe alikiri kuwa wajumbe ndio wapiga kura sio wanachama meaning anajua hayuko popular kwa wanachama ila sijui anafikiria nni
 
Back
Top Bottom