Pre GE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waafrika kinachotufanya tusiendelee ni unafiki. Ndio maana hatuambiani ukweli wala kuwajibishana kwa mawazo kama haya yako mwanzisha thread. Mfano waziri anaiba ila kwakuwa ni mtoto wa katibu wa chama au alikusaidia kwenye kampeni unamwacha. Lissu haijalishi ulimwona ulimpambania nyeupe anaisema kama ilivyo.
Bara la afrika ni masikini kwa sababu ya unafiki wa kutoambizana ukweli.
unafiki ni mbsya lakini pia uropokaji ni mbaya zaidi.
 
Tatizo la Lissu hanaga diplomasia ya Lugha nzuri na tengefu hana elements za uongozi alivyo sawa na mwendazake
Lakini inasaidia kuwafanya watu waone weight ya message
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
du haya
 
Hakuna nchi inaitwa Tanganyika. Hapo ndipo mnapokosea kujenga hoja kwa kutumia misingi ya uwongo. Tanganyika ili cease ku exist tarehe 26/ 04/ 1964.

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, ni watanzania 3 millioni tu kati ya 61 millioni ndiyo walizaliwa kabla ya muungano. 95% ya Watanzania wamezaliwa baada ya 1964 and thus Tanganyika to them is IRRELEVANT
Katiba ya Zanzibar inasema ZanzIbar ni moja ya nchi zinazounda Jumuhuri ya muungano wa Tanzania kwa hiyo nchi hiyo nyingine ambayo ni Tanganyika haipo?
Na Huu sasa ni muungano au ni nini?
 
Umeenda mbali na kuandika mengi yeye utata bila ku address hoja ya msingi isiyo na utata mwingi.

Mtu akiokoa maisha yako leo huruhusiwi kumpinga tena maisha yako yote kwa sababu kaokoa maisha yako leo?
Tena kwa mtu mwelevu anapaswa kumshukuru Lisu kwasababu waliobaki wote ni sifiasifia na ndiyo haohao kesho wanamgeuka mwenyekiti wao kama wanavyomfanyia Magufuli hii leo
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Ili mleta mada kama nayo itaitwa mada usiwe mwongo hebu leta tusi moja alilomtukana Samia au Mbowe.
Tusije tukawa tunajadili na mtu aliye ndotoni kwa jinamizi baada ya kushiba ugali.
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Wewe ni kenge sana!
 
Sijui, mimi niko CCM
Kama kawaida yako, ujinga ni mwingi sana unapokosa hoja.
Kumtendea mtu fadhila hakuondoi haki yake kukusema pale ambapo unafanya yasiyopendeza!
Kwa mfano nimekuona unaiba siwezi kukuacha kukusema eti kwa sababu ulinitendea fadhila fulani.
Vinginevyo hiyo fadhila inageuka kuwa rushwa!
Hiyo uliyoielezea ndiyo hali halisi iliyoko CCM sasa hivi. Wote wamekuwa wanafiki wakubwa, ndiyo sababu husiki wakisema chochote viongozi wao wakifanya makosa.
 
Kama kawaida yako, ujinga ni mwingi sana unapokosa hoja.
Hiyo uliyoielezea ndiyo hali halisi iliyoko CCM sasa hivi. Wote wamekuwa wanafiki wakubwa, ndiyo sababu husiki wakisema chochote viongozi wao wakifanya makosa.
Sasa kwenye hoja utaniweza?
 
ambo mawili kuhusu Lissu nayakubali (1) Ni mbobezi wa Sheria za raslimali za madini ambaye hana mshindani Tanzania. (2) Alipigwa risasi na kikundi cha WASIOJULIKANA kilichokuwa chini ya Makonda kwa amri ya Magufuli. Na nalaani kittendo hicho kwa nguvu zote.

LAKINI
Tundu Lissu hana busara na haiba ya kuweza kuwa Rais wa Tanzania, hata kama aliibiwa kura na Mwendazake mwaka 2020. Tundu Lissu ni dikteta mbaya sawa na Magufuli tu
Dikteta hawezi kutaka katiba bora ya kumbana.
 
Sasa kwenye hoja utaniweza?
Wewe nilikwishakuweka kwenye kapu la uozo toka siku nyingi tu.
Wakati mwingine hata najishangaa mwenyewe kwa nini ninapoteza muda na mada za aina hii yako.
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Mpaka leo Mabeeyo anaulizwa kwa nini taarifa ya kwanza hakumpa mama, badala yake.

Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
ni mtu anayesema ukweli penye ukweli bila unafiki eti kasababu ulikuwa nami katika shida nisiseme ukweli kwa taifa kwa masilahi ya watanzania
 
Tundu Lissu hana busara na haiba ya kuweza kuwa Rais wa Tanzania, hata kama aliibiwa kura na Mwendazake mwaka 2020. Tundu Lissu ni dikteta mbaya sawa na Magufuli tu
Ni zipi hizo "busara na haiba", ambazo Magufuli na Samia wanazo/walikuwa nazo, ambazo Tundu Lissu haziwezi.
 
Wewe nilikwishakuweka kwenye kapu la uozo toka siku nyingi tu.
Wakati mwingine hata najishangaa mwenyewe kwa nini ninapoteza muda na mada za aina hii yako.
Hapa unaongea na first class degree
 
Back
Top Bottom