Pre GE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hujajibu swali nililouliza.

Mimi nishatoka kwa Lissu, nauliza swali general na abstract tu.

Umeenda mbali na kuandika mengi yeye utata bila ku address hoja ya msingi isiyo na utata mwingi.

Mtu akiokoa maisha yako leo huruhusiwi kumpinga tena maisha yako yote kwa sababu kaokoa maisha yako leo?
Read to understand,
 
We ni mbea sana tena mjinga kabisa,
Lisu daima anasimamia ukweli na haki na kupinga uongo na udharim bila kujali umetendwa/umesemwa na nani.

Jambazi akikutendea wema haimfanyi kutokua na hatia juu ya madhambi yake.

Akili gani za kichawa hizi, akili za kuhongwa hongwa hizi.
 
Ww Lissu unamuona ni mtu mwenye akili timamu
Hana, mwenye akili timamu ni aliyesema wabunge hawaendi bungeni kwa idadi ya watu, Bali hoja. Hiyo inamaanisha wazanzibar wana hoja kuliko huku bara!
 
Lissu ni aina ya watu wenye kelele nyingi, ujuaji mwingi sana, wanapenda kuongea na kubishana. Hana aura - ya uongozi...ni kama radio...Kwa haiba yake anafaa kuwa mwanaharakati tu....sio wala kiongozi yoyote CHADEMA
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Mpaka leo Mabeeyo anaulizwa kwa nini taarifa ya kwanza hakumpa mama, badala yake.

Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Sijaona matusi ya lissu zaidi ya kuongea ukweli
Au nyie ccm mtu akisema ukweli anatukana

Muungano una kasoro ni kweli
Mzanzibat kuuza aridhi bara ni kweli
Mzanzibati kuuza bandari ni kweli

Samia kuitwa mzanzibati ni sawa kwa mujibu wa katiba yao ya kibaguzii ya mwaka 1984

Matusi yako wapi mkuu Chiemb?
 
Mzee turkey zungu ndie alielipia ndege kwenda Nairobi na hizo za kutuambia samia alimpa nauli mara samia alitengwa ni uongo kadanganyane na watoto wenzio, mtu hata kama unamchukia sio sababu ya kumuongelea uongo
Pia kama walitengana kwa sababu ya roho mbaya zao, anataka Lisu afanyeje?.
 
Sijaona matusi ya lissu zaidi ya kuongea ukweli
Au nyie ccm mtu akisema ukweli anatukana

Muungano una kasoro ni kweli
Mzanzibat kuuza aridhi bara ni kweli
Mzanzibati kuuza bandari ni kweli

Samia kuitwa mzanzibati ni sawa kwa mujibu wa katiba yao ya kibaguzii ya mwaka 1984

Matusi yako wapi mkuu Chiemb?
Mimi chadema lakini ukweli lazima usemwe
 
Nani kamtukana nani? Kumtukana mtu ni nini na unatofautishaje tusi na political speech iliyofanywa kwa maslahi mapana ya taifa?

Unataka kusema mtu akiokoa uhai wako hutakiwi kumsema vibaya maisha yako yote hata kama anaharibu mambo muhimu ya kitaifa?
Labda uwe kichaa ndiyo unaweza kumsema vibaya mtu aliyeokoa maisha yako
 
Samia alienda kumuona kama Samia au kama Makamo wa Rais ??

Mbowe kumuona Lissu, Makamo wake, haikua sawa??.

Hivi wee jamaa kumbe vijembe VYAKO Kwa Makonda, ni sababu ni punguani .
Nadhani hoja ni mitusi

Na imeanza kupiga kote kote

Tuendelee kumuombea kamanda hajakaa sawa kichwani
 
Mzee turkey zungu ndie alielipia ndege kwenda Nairobi na hizo za kutuambia samia alimpa nauli mara samia alitengwa ni uongo kadanganyane na watoto wenzio, mtu hata kama unamchukia sio sababu ya kumuongelea uongo
Kama 2017 alitengwa atuambie walipatana lini maana 2020 walikuwa bega kwa bega.
 
Labda uwe kichaa ndiyo unaweza kumsema vibaya mtu aliyeokoa maisha yako
Kwani mtu aliyeokoa maisha yako hawezi kufanya vibaya?

Haiwezekani kwa mtu kuokoa maisha yako, ukamshukuru kwa hilo, ukamuheshimu sana, halafu akifanya vibaya, kwa sababu unamuheshimu sana na huwezi kumdanganya kafanya vizuri wakati kafanya vibaya, ukamsema?

Mtu aliyeokoa maisha yako akijikojolea hadharani hutamwambia hapa umejikojolea hadharani ni kitu kibaya? Kwa sababu ameokoa maisha yako tu?
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Mpaka leo Mabeeyo anaulizwa kwa nini taarifa ya kwanza hakumpa mama, badala yake.

Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Kutendewa mema katika maisha yako kusikufanye ushindwe kuongea ukweli hata kama utakuwa mchungu kwa waliokusaidia
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Mpaka leo Mabeeyo anaulizwa kwa nini taarifa ya kwanza hakumpa mama, badala yake.

Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
lissu ni kichaa akili zake zimeshageukia sehemu ya kutoa uchafu hafai hata kupewa ubalozi wa nyumba kumi
 
Back
Top Bottom