Read to understand,Hujajibu swali nililouliza.
Mimi nishatoka kwa Lissu, nauliza swali general na abstract tu.
Umeenda mbali na kuandika mengi yeye utata bila ku address hoja ya msingi isiyo na utata mwingi.
Mtu akiokoa maisha yako leo huruhusiwi kumpinga tena maisha yako yote kwa sababu kaokoa maisha yako leo?
UkabilaPai lata, bhamura
I can't understand if you do not answer my questions.Read to understand,
Hana, mwenye akili timamu ni aliyesema wabunge hawaendi bungeni kwa idadi ya watu, Bali hoja. Hiyo inamaanisha wazanzibar wana hoja kuliko huku bara!Ww Lissu unamuona ni mtu mwenye akili timamu
Sijaona matusi ya lissu zaidi ya kuongea ukweliLissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.
Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.
Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Mpaka leo Mabeeyo anaulizwa kwa nini taarifa ya kwanza hakumpa mama, badala yake.
Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.
Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.
Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.
Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Pia kama walitengana kwa sababu ya roho mbaya zao, anataka Lisu afanyeje?.Mzee turkey zungu ndie alielipia ndege kwenda Nairobi na hizo za kutuambia samia alimpa nauli mara samia alitengwa ni uongo kadanganyane na watoto wenzio, mtu hata kama unamchukia sio sababu ya kumuongelea uongo
Mimi chadema lakini ukweli lazima usemweSijaona matusi ya lissu zaidi ya kuongea ukweli
Au nyie ccm mtu akisema ukweli anatukana
Muungano una kasoro ni kweli
Mzanzibat kuuza aridhi bara ni kweli
Mzanzibati kuuza bandari ni kweli
Samia kuitwa mzanzibati ni sawa kwa mujibu wa katiba yao ya kibaguzii ya mwaka 1984
Matusi yako wapi mkuu Chiemb?
Labda uwe kichaa ndiyo unaweza kumsema vibaya mtu aliyeokoa maisha yakoNani kamtukana nani? Kumtukana mtu ni nini na unatofautishaje tusi na political speech iliyofanywa kwa maslahi mapana ya taifa?
Unataka kusema mtu akiokoa uhai wako hutakiwi kumsema vibaya maisha yako yote hata kama anaharibu mambo muhimu ya kitaifa?
Nadhani hoja ni mitusiSamia alienda kumuona kama Samia au kama Makamo wa Rais ??
Mbowe kumuona Lissu, Makamo wake, haikua sawa??.
Hivi wee jamaa kumbe vijembe VYAKO Kwa Makonda, ni sababu ni punguani .
Kama 2017 alitengwa atuambie walipatana lini maana 2020 walikuwa bega kwa bega.Mzee turkey zungu ndie alielipia ndege kwenda Nairobi na hizo za kutuambia samia alimpa nauli mara samia alitengwa ni uongo kadanganyane na watoto wenzio, mtu hata kama unamchukia sio sababu ya kumuongelea uongo
Kwani mtu aliyeokoa maisha yako hawezi kufanya vibaya?Labda uwe kichaa ndiyo unaweza kumsema vibaya mtu aliyeokoa maisha yako
Kutendewa mema katika maisha yako kusikufanye ushindwe kuongea ukweli hata kama utakuwa mchungu kwa waliokusaidiaLissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.
Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.
Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Mpaka leo Mabeeyo anaulizwa kwa nini taarifa ya kwanza hakumpa mama, badala yake.
Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.
Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.
Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.
Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
lissu ni kichaa akili zake zimeshageukia sehemu ya kutoa uchafu hafai hata kupewa ubalozi wa nyumba kumiLissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.
Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.
Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Mpaka leo Mabeeyo anaulizwa kwa nini taarifa ya kwanza hakumpa mama, badala yake.
Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.
Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.
Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.
Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Nitokee hapa CHAWA PRO MAXMbona anaongea mambo ya uongo tu