Pre GE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapana, mimi namtetea Mbowe. Ni tofauti kidogo na Zitto.

Mbowe anayo imani (ideology) inayomsukuma zaidi kuliko utumishi kwa chama au taasisi nyingine.
Mbowe kampata pacha wake katika imani yake ndani ya Samia. Mbowe na Samia 'ideology' yao ni moja.

Kwa hiyo, Mbowe anasubiri tu muda ufike ili aungane na Samia kuelekea 2025.
Chadema ya Mbowe na CCM ya Samia wataunda serikali ya umoja endapo kama watafanikiwa mipango yao.
Kwa namna Kinana alivyoyaongelea Maridhiano nimekuelewa sana
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389

MWAMBA HUYU HAPA. JAMAA AMENIFUNGUA MACHO KWA KWELI.
 
Nchi ina mijitu mijinga na ni mingi kweli..kwani kuna nn?? Semeni kwamba hela chafu haziko chadema kama alivyosema Lisu na mtoe ushahidi ai hivyo tu yameisha??? Sasa kukimbia left right kusema alipigwa masasi..Nani alimpiga masasi?? MBOWE alipokua jela Mbona hatumwambii?? Inajulikana kila wmanasiasa akijitokeza kukua Mbowe anaanza kumsakama ammalize tangu enzi za Akina Chacha Wangwe..Wakaja Wakina Mugamba ..Wakaja Wakina Zito sasa anataka adeal na Lisu
Mbowe anahisi kile chama ni saccos yake.
 
IMG-20240505-WA0020.jpg
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Hatuishi kwa kuwa watumwa wa watu waliowahi kutusaidia hapo nyuma, ila tunaishi kuwa watu kamili wenye fikra na utashi, kwani ile misaada yao haikuwa hongo.

Nadhani, ni vizuri zikajibiwa hoja zake na siyo kumtisha kwa misaada aliyopewa hapo nyuma kwa kuifanya kama ilikuwa ni gharama za kununua fikra na utashi wake.

Mara nyingi, watu wenye akili huwa na tabia ya kuukataa woga. Ni aghalabu sana kukutana na shujaa mjinga.

Ova
 
Bado hujasema, na tunamfukuza Chadema
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Sasa Kwa sababu ya huo Msaada ndio awe chawa
 
ambo mawili kuhusu Lissu nayakubali (1) Ni mbobezi wa Sheria za raslimali za madini ambaye hana mshindani Tanzania. (2) Alipigwa risasi na kikundi cha WASIOJULIKANA kilichokuwa chini ya Makonda kwa amri ya Magufuli. Na nalaani kittendo hicho kwa nguvu zote.

LAKINI
Tundu Lissu hana busara na haiba ya kuweza kuwa Rais wa Tanzania, hata kama aliibiwa kura na Mwendazake mwaka 2020. Tundu Lissu ni dikteta mbaya sawa na Magufuli tu
 
Piga hesabu mtu kasimama kwenye ndege Dodoma mpaka Nairobi ameshikilia chupa ya damu leo umepona unamtukana
Nani kamtukana nani? Kumtukana mtu ni nini na unatofautishaje tusi na political speech iliyofanywa kwa maslahi mapana ya taifa?

Unataka kusema mtu akiokoa uhai wako hutakiwi kumsema vibaya maisha yako yote hata kama anaharibu mambo muhimu ya kitaifa?
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Waafrika kinachotufanya tusiendelee ni unafiki. Ndio maana hatuambiani ukweli wala kuwajibishana kwa mawazo kama haya yako mwanzisha thread. Mfano waziri anaiba ila kwakuwa ni mtoto wa katibu wa chama au alikusaidia kwenye kampeni unamwacha. Lissu haijalishi ulimwona ulimpambania nyeupe anaisema kama ilivyo.
Bara la afrika ni masikini kwa sababu ya unafiki wa kutoambizana ukweli.
 
ambo mawili kuhusu Lissu nayakubali (1) Ni mbobezi wa Sheria za raslimali za madini ambaye hana mshindani Tanzania. (2) Alipigwa risasi na kikundi cha WASIOJULIKANA kilichokuwa chini ya Makonda kwa amri ya Magufuli. Na nalaani kittendo hicho kwa nguvu zote.

LAKINI
Tundu Lissu hana busara na haiba ya kuweza kuwa Rais wa Tanzania, hata kama aliibiwa kura na Mwendazake mwaka 2020. Tundu Lissu ni dikteta mbaya sawa na Magufuli tu
Yes, anaamini yeye ndiye sahihi, ni dikteta mkubwa sana na ana dharau sana
 
Waafrika kinachotufanya tusiendelee ni unafiki. Ndio maana hatuambiani ukweli wala kuwajibishana kwa mawazo kama haya yako mwanzisha thread. Mfano waziri anaiba ila kwakuwa ni mtoto wa katibu wa chama au alikusaidia kwenye kampeni unamwacha. Lissu haijalishi ulimwona ulimpambania nyeupe anaisema kama ilivyo.
Bara la afrika ni masikini kwa sababu ya unafiki wa kutoambizana ukweli.
Lissu ni mnafiki
 
Ila kiukweli hoja za lissu majibu bado sana. Leteni katiba mpya tumalize kesi. Yaani tutazungukaaaaaaaa na kufikia palepale. Katiba ndio dawa yake. Kwenye huu muungano hakuna mdogo. Katiba mpya taf
 
Back
Top Bottom