Mwambie huyu. CCM wenyewe hawamtaki Magu ndo iwe watanzania???Ni maoni yako, usiyafanye kuwa ndio mtizamo wa kila mtanzania!
Ingekua hawamtaki angepitishwa kugombea ! Acha mihemko ndugu.Mwambie huyu. CCM wenyewe hawamtaki Magu ndo iwe watanzania???
Wangempitisha Nani wakati aliprint fomu moja ya kugombea uraisi?Ingekua hawamtaki angepitishwa kugombea ! Acha mihemko ndugu.
Ingekua hawamtaki angepitishwa kugombea ! Acha mihemko ndugu.
Ingekua hawamtaki angepitishwa kugombea ! Acha mihemko ndugu.
Wakati kikwete na late mkapa wanagombea kulikuwa na fomu ngapi za Urais au mnajusaulisha ..??Wangempitisha Nani wakati aliprint fomu moja ya kugombea uraisi?
Mwaka huu Meko a.k.a mzee wa jogoo hatiboi kudadadeki.Wakati kikwete na late mkapa wanagombea kulikuwa na fomu ngapi za Urais au mnajusaulisha ..??
Wakati kikwete na late mkapa wanagombea kulikuwa na fomu ngapi za Urais au mnajusaulisha ..??Wangempitisha Nani wakati aliprint fomu moja ya kugombea uraisi?
Alijipitisha huyo, hakukua na ushindani wowote tangu alipomfutilia mbali Membe kwa hofu.Ingekua hawamtaki angepitishwa kugombea ! Acha mihemko ndugu.
Wakati kikwete anagimbea awamu ya pili kulikuwa ushindani wowote wa mwana ccm kutaka kugombea Urais??Alijipitisha huyo, hakukua na ushindani wowote tangu alipomfutilia mbali Membe kwa hofu.
Hukumbuki kwamba Shibuda alijitokeza kupimana na Kikwete? Vijana wa Lumumba acheni njaa.Wakati kikwete anagimbea awamu ya pili kulikuwa ushindani wowote wa mwana ccm kutaka kugombea Urais??
Ni utamaduni wa CCM kumwachia alie madarakani ngwe ya pili ya kugombea! Hilo lipo wazi tusijotoe upofu.!Hukumbuki kwamba Shibuda alijitokeza kupimana na Kikwete? Vijana wa Lumumba acheni njaa.
Shibuda ilikuaje dogo? Ni wapi katiba ya CCM imetamka hayo?Ni utamaduni wa CCM kumwachia alie madarakani ngwe ya pili ya kugombea! Hilo lipo wazi tusijotoe upofu.!