Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,148
Jpm anafanya mengi sana na kwa kulisema hilo nime take reference kwa hayati Mh benjamini Mkapa coz tuna mkumbuka kwa li kiwanja la mpira na Daraja la kwenda kwao uswekeni huko kusini japokuwa Benja alitawala enzi hizo uchumi ulikuwa sio mbovu kiasi cha kufananisha na enzi za jpm wakati anachukua nchi ila jpm kafanya vingi mno kwa kipindi kifupi mno haswa nyakati hizi za corona(kipindi hata hata nchi za wazungu wanajamba jamba) na hiki kimemfanya hata Lisu kutokuwa maarufu kivile.So namshauri rais wetu aache vitu vichache ambavyo ni very minor ili aache Regency kwenye hili taifa.
1.Awaache wapinzani wawe huru kwa sababu anachofanya ni kikubwa mno hakiitaji hata promo so sisi kama wapiga kura tunajua nani ni karata dume na nani ni garasa.(awaache mbwa wabweke kwa sababu ni nature yao i mean wapinzani ni kazi yao kupinga ndo maana wakaitwa wapinzani)
2.Asiwe na ubaguzi wa kutoa fedha za maendeleo kwenye majimbo yanayotawaliwa na wapinzani kwa sababu wote wanawakilisha waTz refer kwa Mbunge bwege na Mbeya mjini kwa Sugu)
3.Aropoke anavyoweza ila asihusishe chuki za wazi wazi kwa wapinzani ndizo zinazomshushia P kwa anachokifanya ndani ya taifa haswa internationally
4.Aache mtindo wa kutoa maamuzi jukwaani kwa sababu kuna muda anaweza muonea mteule wake kwa sababu za chuki za watu wachache ambao wamewasilisha hoja mezani mwake.
MWISHO NAPENDA KUSEMA JPM ANA UPEKEE KWENYE UONGOZI WA HII NCHI ATAONDOKA ILA TUTAMKUMBUKA HATA KAMA LEO TUNA MTUKANA NA KUMKEJELI(Include me).
HATA MIMI KUPITIA FAKE NAME HUMU JF NILIONGEA MENGI NA KUKOMENT VINGI MNO NEGATIVE ILA KWA SASA NAONA KAMA JAMAA ANA NIA YA DHATI KWENYE HILI TAIFA.