Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,886
- 2,231
Kikubwa nafikiri ni kuendelea kuwapa ELIMU wale tulionao karibu sana wavote Wapi, then zihesabiwe wazi. Mwishowe tutajuana tu
Kura zihesabiwe hadharani ni hilo tu. Watanzania tumemchoka huyo dikteta wengine hawataki hata kumsikia jina lake. Bila figisi figisu za aina yoyote ile Mchezo wote uwe hadharani halafu ndiyo tutajua mbivu na mbichi.