Huna aibu kuuliza kulikuwa na fomu ngapi? Kitu gani hicho kwa ustawi wa demokrasia ndani ya chama? Huko nyuma waliyamaliza kwa makubaliano. Mwaka huu ni fukuza tu aliyetaka kuprintiwa fomu ya pili ya kuomba kuongoza vyombo vya dola! Nani anajisahaulisha?Wakati kikwete na late mkapa wanagombea kulikuwa na fomu ngapi za Urais au mnajusaulisha ..??
That is next to impossible ndugu yanguMagufuli hashindi mioyo wala kura. Amini maneno yangu, Magufuli anaenda kuwa Raisi mstaafu hapo October 2020
Wakati kikwete anagimbea awamu ya pili kulikuwa ushindani wowote wa mwana ccm kutaka kugombea Urais??
Kwanza kabisa napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza Mhe. Rais John Pombe Magufuli na ndugu Tundu Lissu kwa kuteuliwa na vyama vyao(CCM na CHADEMA) kuwa wagombea uraisi katika uchaguzi huu wa mwezi Oktoba, Niende kwenye hoja ya hapo juu ya kuwa Bwana Lissu bila kupinga atashinda sana mioyo ya watu wengi kwa kuwa na historia yake ya kupigwa risasi na mpaka sasa kuwa mgombea uraisi wa nchi lakini Mhe. Rais John Pombe Magufuli atashinda kura za watu wengi kwa juhudi alizozifanya katika kipindi chake cha uongozi.
Ni maoni yako, usiyafanye kuwa ndio mtizamo wa kila mtanzania!
Ingekua hawamtaki angepitishwa kugombea ! Acha mihemko ndugu.
Hata kupona risasi 16 ilikuwa impossible. Tukutane October 2020That is next to impossible ndugu yangu
Wangempitisha Nani wakati aliprint fomu moja ya kugombea uraisi?
Tumechoka ubaguzi na ubabe, twende na lissu
Amepitishwa na nani wakati amefukuza washindani wake akina Bernard Membe kisha kujichapishia fomu moja tu?
Chakubanga atazimia jukwaani mwaka huu.
Wakati kikwete anagimbea awamu ya pili kulikuwa ushindani wowote wa mwana ccm kutaka kugombea Urais??
Kwa kujifariji siku zote hamjambo.Kura zihesabiwe hadharani ni hilo tu. Watanzania tumemchoka huyo dikteta wengine hawataki hata kumsikia jina lake. Bila figisi figisu za aina yoyote ile Mchezo wote uwe hadharani halafu ndiyo tutajua mbivu na mbichi.
Nilini wewe ukampenda Magufuli mnafiki mkubwa..binafsi nimechoshwa na lugha za MATUSI za Jpm.
..waTz tulifanya makosa 2015 kwa kumchagua mtu anayetumia lugha za matusi na udhalilishaji hadharani.
juhudi zipi mzee baba? raia wana miaka mi5 hawajawahi kuongezewa mishahara unakuja hapa unatapika kuwa kafanya juhudi? ndege na reli ndio juhudi? ushapanda ndege mara ngapi tangu mwaka huu uanze?Kwanza kabisa napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza Mhe. Rais John Pombe Magufuli na ndugu Tundu Lissu kwa kuteuliwa na vyama vyao(CCM na CHADEMA) kuwa wagombea uraisi katika uchaguzi huu wa mwezi Oktoba, Niende kwenye hoja ya hapo juu ya kuwa Bwana Lissu bila kupinga atashinda sana mioyo ya watu wengi kwa kuwa na historia yake ya kupigwa risasi na mpaka sasa kuwa mgombea uraisi wa nchi lakini Mhe. Rais John Pombe Magufuli atashinda kura za watu wengi kwa juhudi alizozifanya katika kipindi chake cha uongozi.