Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,886
- 2,231
Kura zihesabiwe hadharani ni hilo tu. Watanzania tumemchoka huyo dikteta wengine hawataki hata kumsikia jina lake. Bila figisi figisu za aina yoyote ile Mchezo wote uwe hadharani halafu ndiyo tutajua mbivu na mbichi.
CCM itashinda kwa msaada wa Tume, vizingiti vilinyowekwa na msajiri wa vyama, vyombo vya dola, sheria kandamizi ya makosa ya mitandao, na mahakama.Kwanza kabisa napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza Mhe. Rais John Pombe Magufuli na ndugu Tundu Lissu kwa kuteuliwa na vyama vyao(CCM na CHADEMA) kuwa wagombea uraisi katika uchaguzi huu wa mwezi Oktoba, Niende kwenye hoja ya hapo juu ya kuwa Bwana Lissu bila kupinga atashinda sana mioyo ya watu wengi kwa kuwa na historia yake ya kupigwa risasi na mpaka sasa kuwa mgombea uraisi wa nchi lakini Mhe. Rais John Pombe Magufuli atashinda kura za watu wengi kwa juhudi alizozifanya katika kipindi chake cha uongozi.
Tunasubiri kuona. Muda ndio utaamua.Kwanza kabisa napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza Mhe. Rais John Pombe Magufuli na ndugu Tundu Lissu kwa kuteuliwa na vyama vyao(CCM na CHADEMA) kuwa wagombea uraisi katika uchaguzi huu wa mwezi Oktoba, Niende kwenye hoja ya hapo juu ya kuwa Bwana Lissu bila kupinga atashinda sana mioyo ya watu wengi kwa kuwa na historia yake ya kupigwa risasi na mpaka sasa kuwa mgombea uraisi wa nchi lakini Mhe. Rais John Pombe Magufuli atashinda kura za watu wengi kwa juhudi alizozifanya katika kipindi chake cha uongozi.
HewaaaaKwanza kabisa napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza Mhe. Rais John Pombe Magufuli na ndugu Tundu Lissu kwa kuteuliwa na vyama vyao(CCM na CHADEMA) kuwa wagombea uraisi katika uchaguzi huu wa mwezi Oktoba, Niende kwenye hoja ya hapo juu ya kuwa Bwana Lissu bila kupinga atashinda sana mioyo ya watu wengi kwa kuwa na historia yake ya kupigwa risasi na mpaka sasa kuwa mgombea uraisi wa nchi lakini Mhe. Rais John Pombe Magufuli atashinda kura za watu wengi kwa juhudi alizozifanya katika kipindi chake cha uongozi.
Ogopa mtu anayeshinda miyoyo ya watu huyu anashinda kila kitu! Ni Lissu huyo!Kwanza kabisa napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza Mhe. Rais John Pombe Magufuli na ndugu Tundu Lissu kwa kuteuliwa na vyama vyao(CCM na CHADEMA) kuwa wagombea uraisi katika uchaguzi huu wa mwezi Oktoba, Niende kwenye hoja ya hapo juu ya kuwa Bwana Lissu bila kupinga atashinda sana mioyo ya watu wengi kwa kuwa na historia yake ya kupigwa risasi na mpaka sasa kuwa mgombea uraisi wa nchi lakini Mhe. Rais John Pombe Magufuli atashinda kura za watu wengi kwa juhudi alizozifanya katika kipindi chake cha uongozi.
Baba anayejenga bila kuhakikisha watoto wanashibe.Unazuia ajira,kupandisha vyeo/madaraja ya mishahara na kutolipa mafao,madai ya wastaafu kwa wakati ili ujenge daraja,barabara,reli au unanunua ndege,meli na wapinzani wako?..binafsi nimechoshwa na lugha za MATUSI za Jpm.
..waTz tulifanya makosa 2015 kwa kumchagua mtu anayetumia lugha za matusi na udhalilishaji hadharani.
Nilini wewe ukampenda Magufuli mnafiki mkubwa
Kwanza ww ni Mzee wa Ukaskazini
Mada post zako ni zawivu chuki
Leo unaongea nini
Uchoke usichoke
Magufuli atashinda kwa 90+%
Ni Watanzania wa CCM ndo walifanya kosa wakijua tabia yake mbaya na uwezo wake dhaifu lakini kosa kubwa zaidi ni kurudia kosa kumpitisha bila mpinzani ili tabia ya lughà mbaya, uwezo dhaifu na maneno bila vitendo viendelezwe kwa miaka 5 mingine. Enough is enough, CCM tupa kule!..binafsi nimechoshwa na lugha za MATUSI za Jpm.
..waTz tulifanya makosa 2015 kwa kumchagua mtu anayetumia lugha za matusi na udhalilishaji hadharani.
Sio kweli..hoja yangu ni kwamba Jpm anatumia lugha za MATUSI na KUDHALILISHA majukwaani. Je, ni kweli au siyo kweli?
Ni wewe tu unayejua atapita mchana kweupe kabla ya kura kupigwa maana kawaidà matokeo hutangazwa usiku baada ya kura kuhesabiwa. Wanaotumbuliwa na kutenguliwa kwa kejeli na dhihaka ni WanaCCM sidhani watachangia ushindi wake wa mchana kweupe.Magufuli atashinda uchaguzi huu mchana kweupe tu hilo kila mtu analijua kinachotokea humu ni baadhi ya watu wachache tu ambao mnajifanya ukweli huu amuujui, tusubiri tuone.
Sio kweli
Mchawi Kumponda Asie mpenda nayo habari!!
Nyie mmejawa Ukaskazini na Ukabila mmejawa chuki kitambo tu
Mnafahamika
Leo useme umemchoka Magufuli kha!!
Umchoke Usimchoke Magufuli ndie Rais mpaka 2025
Kwa kutokuwa na imani na wajumbe akatengeneza mazingira ya kutokupingwa. Hajiamini.Ingekua hawamtaki angepitishwa kugombea ! Acha mihemko ndugu.