muhibu said
Member
- Sep 15, 2014
- 14
- 14
Kichwa cha habari cha huu uzi, kinaeleza "urais" lakini maelezo ya ndani yanasema "makamu wa Rais CHADEMA"!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha Wivu WeweTundu Lisu nadhani akili zimemhama
Toka lini ugombea uraisi Chadema au chama chochote Cha siasa huombwa Kwa barua.
Wagombea wa nafasi zote muda ukifika hujaza fomu za kugombea nafasi wanataka
Lisu mwanasheria ugombea hauombwi Kwa barua ni Kwa kujaza fomu kulipa kiasi Fulani
Lisu kaehuka Hana sound mind au ana lake jambo
Chadema hiyo mibarua yake msimjibu kaeni kimywa abaki na ujinga wake
Ugombea uraisi hauombwi Kwa barua iwe CCM , Chadema au vyama vidogo kabisa
Lisu kapanick baada ya kuona nafasi yake tu ya umakamu mwenyekiti Chadema mtu kajitokeza kugombea
Mimi CCM ila napenda nchi kuwa na upinzani imara unaozingatia katiba zao
Lisu alichofanya NI kinyume na katiba na kanuni za Chadema
Chadema msimjibu barua Yake wala kwenye Press mkihojiwa na waandishi WA habari wakikmaa waambieni tutajibu mwakani uchaguzi ukikaribia Kwa yeyote kaandika barua awe mgombea udiwani ,ubunge au uraisi .
Lisu akili zimemuhama dunia nzima nchi zilizoendelea na zilizoendelea hakuna mahali nchi yeyote duniani mtaka kugombea uraisi huandika barua Kwa chama chake kuwa anataka kugombea uraisiAcha Wivu Wewe
Ushazoea kukaririHaiwezi kutokea, niko hapa hapa toka Serikali ya Nyerere na sasa ni mstaafu. Ukisemwa sana, ukiutaka sana urais wa Tz huwezi kuupata. Anaupata usiyemtarujia
Umeandika manin mkuu?,au umeishia darasa la ngapLisu akili zimemuhama dunia nzima nchi zilizoendelea na zilizoendelea hakuna mahali nchi yeyote duniani mtaka kugombea uraisi huandika barua Kwa chama chake kuwa anataka kugombea uraisi
Lisu aingizwe kwenye Guinness Book of records kuwa MTU WA Kwanza duniani kuandikia barua chama chake cha siasa kuwa ateuliwe kuwa mgombea uraisi
Inatisha Lisu akili Hana sasa hivi
Chadema kama hawana mgombea uraisi sio kesi wajikite kugombea ubunge na udiwani Tu ambako Wana chance kubwa ya kushinda
Sasa unabisha nini? Ni wapi watu wanaandika barua? Halafu inaona wewe ndiyo una madarasa mengi?Umeandika manin mkuu?,au umeishia darasa la ngap
LISSU: NIMEANDIKA BARUA YA KUTIA NIA KUWANIA URAIS WA NCHI KUPITIA CHADEMA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema ameshaandika barua ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Mkamu wa Rais wa CHADEMA nafasi anayoishikilia kwa sasa pamoja na nia ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia chama chake.
Amesema hayo alipohojiwa na Kituo cha Crown FM, Agosti 16, 2024, ameongeza kuwa “CHADEMA hakuna mkanganyiko, ni joto la uchaguzi, hizo ni kelele za kawaida kabisa, nimeshawasilisha barua mbili wala hakuna cha kuficha.”
LISSU: CCM WAMENICHANGIA, WAMEPELEKA BENKI, SHIDA IKO WAPI?
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), #TunduLissu amekiri kuwa risiti ya Benki inayoonesha fedha zilizochangwa na Wanachama wa CCM kwa ajili ya kumnunulia gari, vina jina lake na Namba ya Akaunti yake ya benki.
Amesisitiza kuwa wakati wanaomba achangiwe kupata gari hawakuweka masharti ya watu wa kuwachangia, amesema hayo alipohojiwa na Kituo cha Crown FM, Agosti 16, 2024, na kusisitiza kuwa amechangiwa na Wana-CCM wengi anaowafahamu na ambao hawafahamu.
pressure = force/areaUjinga mtupu hamna atayechagua raia wa ubelgiji kuwa rais wa Tanzania
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzaniaLissu anataka kugombea ili ashindane kwenye Urais, au kiu yake ni kugombea pekee?
Tumeona watu kama Samia wakawa Rais; lakini kwako Tundu Lissu ni kama unajiapiza kabisa, kuwa hawezi kuwa Rais?Tundu Lissu will die one day a frustrated man but not as a former president of Tanzania.
Nahakikisha Tundu hawezi kuwa Rais. Wanaopata uRais wa Tanzania siyo wa haiba kama ya kwake au wanaopania kwa udi na uvumba kuwa maRais wa Tz.
Yeye amepewa nafasi ya pili ya kuishi baada ya Magufuli na Makonda kutaka kumuua, amshukuru Mungu tu. Ila Urais kwake ni maji marefu
Lissu ni mwanaikungi.Ujinga mtupu hamna atayechagua raia wa ubelgiji kuwa rais wa Tanzania
Ukipania sana na ukafikiri wewe ndiyo "the best", Mungu hakupi kamwe. Wanapata only humble and down to earth peopleTumeona watu kama Samia wakawa Rais; lakini kwako Tundu Lissu ni kama unajiapiza kabisa, kuwa hawezi kuwa Rais?
Kweli usemi wa "kipendacho moyo ni dawa" una maana yake!
LISSU: NIMEANDIKA BARUA YA KUTIA NIA KUWANIA URAIS WA NCHI KUPITIA CHADEMA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema ameshaandika barua ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Mkamu wa Rais wa CHADEMA nafasi anayoishikilia kwa sasa pamoja na nia ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia chama chake.
Amesema hayo alipohojiwa na Kituo cha Crown FM, Agosti 16, 2024, ameongeza kuwa “CHADEMA hakuna mkanganyiko, ni joto la uchaguzi, hizo ni kelele za kawaida kabisa, nimeshawasilisha barua mbili wala hakuna cha kuficha.”
LISSU: CCM WAMENICHANGIA, WAMEPELEKA BENKI, SHIDA IKO WAPI?
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), #TunduLissu amekiri kuwa risiti ya Benki inayoonesha fedha zilizochangwa na Wanachama wa CCM kwa ajili ya kumnunulia gari, vina jina lake na Namba ya Akaunti yake ya benki.
Amesisitiza kuwa wakati wanaomba achangiwe kupata gari hawakuweka masharti ya watu wa kuwachangia, amesema hayo alipohojiwa na Kituo cha Crown FM, Agosti 16, 2024, na kusisitiza kuwa amechangiwa na Wana-CCM wengi anaowafahamu na ambao hawafahamu.
Who are you? Kumbuka unapanga na Mungu anapanga anaweza kuwa Rais wakati wewe tayari tushakufukia!!!Tundu Lissu will die one day a frustrated man but not as a former president of Tanzania.