technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kwamba unaweza kuwa Rais tu ikiwa hauonyeshi Nia๐๐๐๐๐๐
Kwahiyo urais wa Tanzania ni wa kifalme
Kwahiyo urais wa Tanzania ni wa kifalme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania ni ndugu moja, mbowe hawezi kushindwa kuongea na CCM, na wala Lissu hawezi shindwa kuomba msaada kwa jirani CCM, Wala CCM haiwezi kushindwa kumsaidia muhitaji, pia chadema haiwezi kushindwa kukaa na CCM Kujadili jambo, aidha mwenyekiti mbowe hawezi kushindwa kukaa faragha na CCM,Kumekucha!
Huo ni uamzi wa huyo "Mungu", au wa mtu anaye fikiri 'Mungu' huyo anammiriki yeye?Ukipania sana na ukafikiri wewe ndiyo "the best", Mungu hakupi kamwe. Wanapata only humble and down to earth people
Kwa Magufuli ilikuwa ni wazi, alikuwa ni walking cadaver!!Kuna mtu aliamini Magufuli atafia ofisini na majeshi yote yakiwa yamemzunguka
Makonda naye usishangae akalamba mchanga kabla ya Lissu
Mungu ni wawote sio wa wanaojiapiza tu Kama wewe!!!!
Hamna neno "anammiriki" kwenye Kiswahili. Bali kuna anayemmilikiHuo ni uamzi wa huyo "Mungu", au wa mtu anaye fikiri 'Mungu' huyo anammiriki yeye?
SAWA.Hamna neno "anammiriki" kwenye Kiswahili. Bali kuna anayemmiliki
"R" inatumika kwenye maneno yanayohitaji her herufi "R" (mfano rungu, risasi, radhi, urithi). Na "L" inatumika kwa maneno yanayohitaji "L" kama Kalamu, Lishe, miliki etc.SAWA.
Ili nijifunze kitu toka kwako leo, nipe kanuni za matumizi ya herufi "R" au "L"; ukiachana na mazoea tu ya kumbukumbu zilizo nasa akilini.
Hiyo ndiyo "kumbukumbu" niliyo eleza, hakuna "kanuni" hapo."R" inatumika kwenue maneno yanayohitaji her herufi "R" (mfano ringu, risasi, radhi, urithi). Na "L" inatumika kwa maneno yanayohitaji "L" kama Kalamu, Lishe, miliki etc.
Ukijichanganya tu inapoteza maana. Inakuwa broken language