Pre GE2025 Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?

Pre GE2025 Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwamba unaweza kuwa Rais tu ikiwa hauonyeshi Nia๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Kwahiyo urais wa Tanzania ni wa kifalme
 
Kumekucha!
Watanzania ni ndugu moja, mbowe hawezi kushindwa kuongea na CCM, na wala Lissu hawezi shindwa kuomba msaada kwa jirani CCM, Wala CCM haiwezi kushindwa kumsaidia muhitaji, pia chadema haiwezi kushindwa kukaa na CCM Kujadili jambo, aidha mwenyekiti mbowe hawezi kushindwa kukaa faragha na CCM,
-HUU NDIYO UTANZANIA!
 
Ukipania sana na ukafikiri wewe ndiyo "the best", Mungu hakupi kamwe. Wanapata only humble and down to earth people
Huo ni uamzi wa huyo "Mungu", au wa mtu anaye fikiri 'Mungu' huyo anammiriki yeye?
 
Kuna mtu aliamini Magufuli atafia ofisini na majeshi yote yakiwa yamemzunguka

Makonda naye usishangae akalamba mchanga kabla ya Lissu

Mungu ni wawote sio wa wanaojiapiza tu Kama wewe!!!!
Kwa Magufuli ilikuwa ni wazi, alikuwa ni walking cadaver!!
 
Hamna neno "anammiriki" kwenye Kiswahili. Bali kuna anayemmiliki
SAWA.

Ili nijifunze kitu toka kwako leo, nipe kanuni za matumizi ya herufi "R" au "L"; ukiachana na mazoea tu ya kumbukumbu zilizo nasa akilini.
 
SAWA.

Ili nijifunze kitu toka kwako leo, nipe kanuni za matumizi ya herufi "R" au "L"; ukiachana na mazoea tu ya kumbukumbu zilizo nasa akilini.
"R" inatumika kwenye maneno yanayohitaji her herufi "R" (mfano rungu, risasi, radhi, urithi). Na "L" inatumika kwa maneno yanayohitaji "L" kama Kalamu, Lishe, miliki etc.

Ukijichanganya tu inapoteza maana. Inakuwa broken language
 
"R" inatumika kwenue maneno yanayohitaji her herufi "R" (mfano ringu, risasi, radhi, urithi). Na "L" inatumika kwa maneno yanayohitaji "L" kama Kalamu, Lishe, miliki etc.

Ukijichanganya tu inapoteza maana. Inakuwa broken language
Hiyo ndiyo "kumbukumbu" niliyo eleza, hakuna "kanuni" hapo.

Sioni "kupoteza" maana unayo izungumzia hapa. Bila shaka utaendelea kuelewa maana nikikueleza kuwa nina "kura chakura"
 
Back
Top Bottom