Pre GE2025 Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kichwa cha habari cha huu uzi, kinaeleza "urais" lakini maelezo ya ndani yanasema "makamu wa Rais CHADEMA"!
 
Chadema wanaiga Kila kitu toka CCM, wangeiga mazuri yao na siyo mabaya yao. Samia wameshamtangaza kuwa mgombea rais bila kujali katiba yao wakati Lissu siyo tu ni kiongozi wa Chadema Bali pia ni mwanasheria na anajua taratibu za chama chake zikoje ameshatangaza Nia ya kugombea urais.
Muda ukifika na wakajitokeza wagombea wengine wakanyimwa fomu Nini kitajitikeza.
 
Tundu Lisu nadhani akili zimemhama

Toka lini ugombea uraisi Chadema au chama chochote Cha siasa huombwa Kwa barua.
Wagombea wa nafasi zote muda ukifika hujaza fomu za kugombea nafasi wanataka
Lisu mwanasheria ugombea hauombwi Kwa barua ni Kwa kujaza fomu kulipa kiasi Fulani

Lisu kaehuka Hana sound mind au ana lake jambo

Chadema hiyo mibarua yake msimjibu kaeni kimywa abaki na ujinga wake

Ugombea uraisi hauombwi Kwa barua iwe CCM , Chadema au vyama vidogo kabisa

Lisu kapanick baada ya kuona nafasi yake tu ya umakamu mwenyekiti Chadema mtu kajitokeza kugombea

Mimi CCM ila napenda nchi kuwa na upinzani imara unaozingatia katiba zao

Lisu alichofanya NI kinyume na katiba na kanuni za Chadema

Chadema msimjibu barua Yake wala kwenye Press mkihojiwa na waandishi WA habari wakikmaa waambieni tutajibu mwakani uchaguzi ukikaribia Kwa yeyote kaandika barua awe mgombea udiwani ,ubunge au uraisi .
 
Hakuna baya Huo Ni Upendo tuuu,, Kuna Watu Tupo CCM Lakini lisu tunapenda Kuna ubaya.Huyu Jamaa anapenda haki
 
Tundu Lisu nadhani akili zimemhama

Toka lini ugombea uraisi Chadema au chama chochote Cha siasa huombwa Kwa barua.
Wagombea wa nafasi zote muda ukifika hujaza fomu za kugombea nafasi wanataka
Lisu mwanasheria ugombea hauombwi Kwa barua ni Kwa kujaza fomu kulipa kiasi Fulani

Lisu kaehuka Hana sound mind au ana lake jambo

Chadema hiyo mibarua yake msimjibu kaeni kimywa abaki na ujinga wake

Ugombea uraisi hauombwi Kwa barua iwe CCM , Chadema au vyama vidogo kabisa

Lisu kapanick baada ya kuona nafasi yake tu ya umakamu mwenyekiti Chadema mtu kajitokeza kugombea

Mimi CCM ila napenda nchi kuwa na upinzani imara unaozingatia katiba zao

Lisu alichofanya NI kinyume na katiba na kanuni za Chadema

Chadema msimjibu barua Yake wala kwenye Press mkihojiwa na waandishi WA habari wakikmaa waambieni tutajibu mwakani uchaguzi ukikaribia Kwa yeyote kaandika barua awe mgombea udiwani ,ubunge au uraisi .
Acha Wivu Wewe
 
Mimi ni MTANGANYIKA, kura yangu ya Urais 2025 nitapiga KITANGANYIKA!
 
Aloo hebu Ngoja tuone, Wataomchagua mzenjibar aongoze Tanganyika ilhali wao ni watanganyika watakua wametukosea sana. wa Tanganyika OG.
 
Acha Wivu Wewe
Lisu akili zimemuhama dunia nzima nchi zilizoendelea na zilizoendelea hakuna mahali nchi yeyote duniani mtaka kugombea uraisi huandika barua Kwa chama chake kuwa anataka kugombea uraisi

Lisu aingizwe kwenye Guinness Book of records kuwa MTU WA Kwanza duniani kuandikia barua chama chake cha siasa kuwa ateuliwe kuwa mgombea uraisi

Inatisha Lisu akili Hana sasa hivi
Chadema kama hawana mgombea uraisi sio kesi wajikite kugombea ubunge na udiwani Tu ambako Wana chance kubwa ya kushinda
 
Umeandika manin mkuu?,au umeishia darasa la ngap
 
LISSU: NIMEANDIKA BARUA YA KUTIA NIA KUWANIA URAIS WA NCHI KUPITIA CHADEMA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema ameshaandika barua ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Mkamu wa Rais wa CHADEMA nafasi anayoishikilia kwa sasa pamoja na nia ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia chama chake.

Amesema hayo alipohojiwa na Kituo cha Crown FM, Agosti 16, 2024, ameongeza kuwa “CHADEMA hakuna mkanganyiko, ni joto la uchaguzi, hizo ni kelele za kawaida kabisa, nimeshawasilisha barua mbili wala hakuna cha kuficha.”

LISSU: CCM WAMENICHANGIA, WAMEPELEKA BENKI, SHIDA IKO WAPI?
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), #TunduLissu amekiri kuwa risiti ya Benki inayoonesha fedha zilizochangwa na Wanachama wa CCM kwa ajili ya kumnunulia gari, vina jina lake na Namba ya Akaunti yake ya benki.

Amesisitiza kuwa wakati wanaomba achangiwe kupata gari hawakuweka masharti ya watu wa kuwachangia, amesema hayo alipohojiwa na Kituo cha Crown FM, Agosti 16, 2024, na kusisitiza kuwa amechangiwa na Wana-CCM wengi anaowafahamu na ambao hawafahamu.

one step ahead
 
Tundu Lissu will die one day a frustrated man but not as a former president of Tanzania.

Nahakikisha Tundu hawezi kuwa Rais. Wanaopata uRais wa Tanzania siyo wa haiba kama ya kwake au wanaopania kwa udi na uvumba kuwa maRais wa Tz.

Yeye amepewa nafasi ya pili ya kuishi baada ya Magufuli na Makonda kutaka kumuua, amshukuru Mungu tu. Ila Urais kwake ni maji marefu
Tumeona watu kama Samia wakawa Rais; lakini kwako Tundu Lissu ni kama unajiapiza kabisa, kuwa hawezi kuwa Rais?
Kweli usemi wa "kipendacho moyo ni dawa" una maana yake!
 
Ujinga mtupu hamna atayechagua raia wa ubelgiji kuwa rais wa Tanzania
Lissu ni mwanaikungi.

Tumeona watu kama Samia wakawa Rais; lakini kwako Tundu Lissu ni kama unajiapiza kabisa, kuwa hawezi kuwa Rais?
Kweli usemi wa "kipendacho moyo ni dawa" una maana yake!
Ukipania sana na ukafikiri wewe ndiyo "the best", Mungu hakupi kamwe. Wanapata only humble and down to earth people
 
M
LISSU: NIMEANDIKA BARUA YA KUTIA NIA KUWANIA URAIS WA NCHI KUPITIA CHADEMA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema ameshaandika barua ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Mkamu wa Rais wa CHADEMA nafasi anayoishikilia kwa sasa pamoja na nia ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia chama chake.

Amesema hayo alipohojiwa na Kituo cha Crown FM, Agosti 16, 2024, ameongeza kuwa “CHADEMA hakuna mkanganyiko, ni joto la uchaguzi, hizo ni kelele za kawaida kabisa, nimeshawasilisha barua mbili wala hakuna cha kuficha.”

LISSU: CCM WAMENICHANGIA, WAMEPELEKA BENKI, SHIDA IKO WAPI?
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), #TunduLissu amekiri kuwa risiti ya Benki inayoonesha fedha zilizochangwa na Wanachama wa CCM kwa ajili ya kumnunulia gari, vina jina lake na Namba ya Akaunti yake ya benki.

Amesisitiza kuwa wakati wanaomba achangiwe kupata gari hawakuweka masharti ya watu wa kuwachangia, amesema hayo alipohojiwa na Kituo cha Crown FM, Agosti 16, 2024, na kusisitiza kuwa amechangiwa na Wana-CCM wengi anaowafahamu na ambao hawafahamu.

Makamu mwenyekit siyo makamu wa Rais
 
Who are
Tundu Lissu will die one day a frustrated man but not as a former president of Tanzania.

Nahakikisha Tundu hawezi kuwa Rais. Wanaopata uRais wa Tanzania siyo wa haiba kama ya kwake au wanaopania kwa udi na uvumba kuwa maRais wa Tz.

Yeye amepewa nafasi ya pili ya kuishi baada ya Magufuli na Makonda kutaka kumuua, amshukuru Mungu tu. Ila Urais kwake ni maji marefu
Who are you? Kumbuka unapanga na Mungu anapanga anaweza kuwa Rais wakati wewe tayari tushakufukia!!!

Kuna mtu aliamini Magufuli atafia ofisini na majeshi yote yakiwa yamemzunguka

Makonda naye usishangae akalamba mchanga kabla ya Lissu

Mungu ni wawote sio wa wanaojiapiza tu Kama wewe!!!!
 
Back
Top Bottom