Hawa jamaa wanaogopaga kila kitu Cha CDM,mikutano Yao wanaiogopa,hoja zao wanaziogopa,mipango Yao wanaiogopa,bendera zao wanaziogopa na Sasa mitandao wanaziogopa.