Uchaguzi 2020 Lissu atikisa Singida, foleni ya kumdhamini utadhani kuna uhaba wa sukari enzi za RTC

Uchaguzi 2020 Lissu atikisa Singida, foleni ya kumdhamini utadhani kuna uhaba wa sukari enzi za RTC

Kichwa cha habari kikubwa kuliko content
Umenikumbusha magazeti ya udaku ya zamani
Front page unakutana na maandishi makubwa "FUMANIZI ZITO" na picha kubwa ya MTU mashuhuri imejaa ukulasa mzima was mbele ukiingia ndani habari tofauti.
 
Back
Top Bottom