RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 963
- 1,927
Membe ni wa kwanu CCM chama kilichokosa wanachama na kuanza kutumia wafungwa na polisi!Mara Lissu mara Membe. Dah! Akili ya nyumbu haujawahi kueleweka.
Safari hii mtanyooka tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Membe ni wa kwanu CCM chama kilichokosa wanachama na kuanza kutumia wafungwa na polisi!Mara Lissu mara Membe. Dah! Akili ya nyumbu haujawahi kueleweka.
Utakuwa Mchawi BwasheeHii picha niliwahi kuiona 2015!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
uko nyuma sana !Kwani ameshawasili mjini au ni ndoto za mchana?
mkuu uliona watu mil 2 wa JPMUnasababisha mataga yavurugwe tumbo.
Hawakufika , muulize vizuri aliyekutumamkuu uliona watu mil 2 wa JPM
tumeona picha mkuu inaogopesha sana Ni "mafuriko" kwenye kilabu ya pombe!!!
Hakika !#LISSURAIS2020 wavimbe wapasuke
✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
😂😂😂😂😂Labda basi la nyumban kwenu huwa wanakaa hivyo.
CHADEMA ni mpango wa MUNGU!
Hawezi mkuu......anayeweza kujiteua na kuzui wengine kwa nguvu ya dola ni jiwe tu.....[emoji3][emoji3]
Kojoa kalale au nenda kalambe makalio upate cheo....
Mwampoteza baba wa watu, mwacheni akae atulie hana uwezo wa kua rais wa nchi hii.#LISSURAIS2020 wavimbe wapasuke
✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
wewe endelea kula nyama ziko chiniOngeza nyama mkuu......
Bwashee umelewa wanzukiHii picha niliwahi kuiona 2015!