Uchaguzi 2020 Lissu atikisa Singida, foleni ya kumdhamini utadhani kuna uhaba wa sukari enzi za RTC

Uchaguzi 2020 Lissu atikisa Singida, foleni ya kumdhamini utadhani kuna uhaba wa sukari enzi za RTC

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Lazima pichu uvae kichwani mwaka huu, subiri oktoba ifike ujionee!
Umekazana tu kuita watu mbwa humu unafikri hiyo ndio miakkati ya kuitoa ccm? Nyumbu we

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
October unaijua au unaropoka tu.....shida yako hujielewi unamihemko ya kijinga.....

Alafu unamjua mwenye mbwa au unang'aka tu....🤔🤔
 
Mbowe ataacha kujiteua ampishe Lissu?

Ikiwa hivyo itakuwa powa sana...

Lissu is better than Membe na Mbowe na Msigwa na Nyalandu
Hawezi mkuu......anayeweza kujiteua na kuzui wengine kwa nguvu ya dola ni jiwe tu.....😀😀
 
Mbeya na Songwe ni Chadema ndugu. Kwenye hii mikoa ni ngumu kuishinda Chadema kuliko hata Moshi na Arusha
Umekariri maisha
Halafu tunaongelea udhamini wa fomu ya kuteuliwa na chama na si kuomba kura,
 
Waambie wawe makini hao, kamanda wa polisi aa mkoa kwa kiherehere chake, hakawii kuwaletea difenda ya FFU kwa madai kuwa mnaandamana. Si mnajua macho yao yana makengeza.
 
Uongo mtupu.Hiyo picha wala haiendani na ulichoandika.Usitufanye wajinga.
 
Dah inasikitisha foleni ya wanaodhamini rais mtarajiwa inazidiwa na walioenda kuipokea bombadia ile ya kwanza
 
Back
Top Bottom