Lissu atoa msimamo rasmi dhidi ya Rais Samia, Zitto Kabwe, Katiba Mpya na ACT Wazalendo

Lissu atoa msimamo rasmi dhidi ya Rais Samia, Zitto Kabwe, Katiba Mpya na ACT Wazalendo

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Wanabodi, sehemu ya mazungumzo ya fuatayo ni msimamo wa Lissu dhidi ya watu husika na mambo tajwa hapo juu.

Mengi amewahi kuonya ama kuyaweka bayana na yakajiri, alikuwa wa kwanza kusema wazi wazi Magufuli ni dikteta na Rais wa ajabu, akasema kuhusu watu wasiojulikana na mauaji ya MKIRU,yalijiri!!

Zaidi msikilize Lissu mwenyewe kwenye kiambatbishi!

Hivi hiyo katiba mpya ni kwaajili ya HAO walioamua KUTAFUTA Kwa mbinu zao binafsi au ni Kwa watanzania wote?

Kama Kuna watu wanataka katiba mpya na wengine hawataki basi wote Wana haki Sawa.

Issue ya wasiojulikana wapo nchi zote na malengo Yao ni kuondoa SUMU mbaya pamoja na wapika SUMU ili waliowengi wasiangamie Kwa SUMU.
 
Anachokisema Lissu ni kweli. Maza kwa sasa ni muda tu ndiyo utatwambia.

Kwa njinsi anavyoyataka madaraka 2025 ni lazima tu attatumia Umafia kuhakikisha hilo linawezekana.

Bila vyombo vya dola Maza kama Maza hawezi kutoboa.
 
Hivi hiyo katiba mpya ni kwaajili ya HAO walioamua KUTAFUTA Kwa mbinu zao binafsi au ni Kwa watanzania wote?
Kama Kuna watu wanataka katiba mpya na wengine hawataki basi wote Wana haki Sawa.
Issue ya wasiojulikana wapo nchi zote na malengo Yao ni kuondoa SUMU mbaya pamoja na wapika SUMU ili waliowengi wasiangamie Kwa SUMU.
Sasa kama Watanzania hawataki katiba mpya kazi ya Warioba kukusanya maoni alipewa ya nini ..... na wale waliotoa hayo maoni walitoka wapi kama Watanzania hawaitaki katiba mpya.

Na kama handiyo mawazo yako mbona huyatumii hayo majibu yako kwenye Tume huru anayotaka kutuletea Maza kupitia Kikosi kazi chake (SHAMBA LAKE)....!!?
 
Anachokisema Lissu ni kweli. Maza kwa sasa ni muda tu ndiyo utatwambia.

Kwa njinsi anavyoyataka madaraka 2025 ni lazima tu attatumia Umafia kuhakikisha hilo linawezekana. Bila vyombo vya dola Maza kama Maza hawezi kutoboa.

Rais Samia mwaka 2014 ndie alikua Makamu Mwenyekiti wa kamati maalumu ya bunge la katiba mpya,leo hii akigusiwa suala la katiba mpya anakua mbogo na anajifanya kama halitambui na ni suala jipya kabisa kwake!!
 
Hivi hiyo katiba mpya ni kwaajili ya HAO walioamua KUTAFUTA Kwa mbinu zao binafsi au ni Kwa watanzania wote?

Kama Kuna watu wanataka katiba mpya na wengine hawataki basi wote Wana haki Sawa.

Issue ya wasiojulikana wapo nchi zote na malengo Yao ni kuondoa SUMU mbaya pamoja na wapika SUMU ili waliowengi wasiangamie Kwa SUMU.
Tuambie hiyo sumu ni ipi?
 
Wanabodi, sehemu ya mazungumzo ya fuatayo ni msimamo wa Lissu dhidi ya watu husika na mambo tajwa hapo juu. Mengi amewahi kuonya ama kuyaweka bayana na yakajiri,alikua wa kwanza kusema wazi wazi Magufuli ni dikteta na raisi wa ajabu,akasema kuhusu watu wasiojulikana na mauaji ya MKIRU,yalijiri!!

Zaidi msikilize Lissu mwenyewe kwenye kiambatbishi!

View attachment 2163100
Eti 'The so called tume huru' !

Hi ni dharau kubwa sana.
 
Wanabodi, sehemu ya mazungumzo ya fuatayo ni msimamo wa Lissu dhidi ya watu husika na mambo tajwa hapo juu. Mengi amewahi kuonya ama kuyaweka bayana na yakajiri,alikua wa kwanza kusema wazi wazi Magufuli ni dikteta na raisi wa ajabu,akasema kuhusu watu wasiojulikana na mauaji ya MKIRU,yalijiri!!

Zaidi msikilize Lissu mwenyewe kwenye kiambatbishi!

View attachment 2163100
Zitto anadhani atapata jimbo awe mbunge na ataachiwa majimbo na CCM! Jinga sana Zitto, msaliti wa dini.

Kwa vile Rais nii wa dini yake basi la kwake limeisha...
 
Kwa nini Lissu na CDM waachiwe ionekane Katiba mpya ni agenda yao na si ya Watanzania wote? Wakati kimsingi mchakato lazima upate baraka za Mh Rais wa JMT.

Kuhusu katiba mpya ni bora maamuzi yakafanyika mapema maana muda si rafiki tena na katiba haiepukiki.

Katiba ni kitu muhimu kwa afya ya Taifa hili, haita kuwa busara ije kupatikana kipindi joto limeshakuwa kubwa na penginepo lisilo weza kuwa controlled. Kwa nini muwape hawa vibaraka wa Wazungu cha kuongea huko duniani? Makabrasha ya katiba mpya yako yanapigwa vumbi itisheni kura ya maoni.

Sababu za Marehemu JPM kusema mchakato wa katiba na uweka pembeni haziishi leo tena. Kwa mfano Wamachinga walioipokea hiyo kauli ya JPM kwa mikono miwili leo Lissu akiwafuata akawaambia Katiba mpya ni muhimu hawatamuelewa vizuri na kumbeba juujuu?

So Katiba mpya haiepukiki tengenezeni utaratibu mchakato uanze muda hauko upande wenu.
 
Rais Samia mwaka 2014 ndie alikua Makamu Mwenyekiti wa kamati maalumu ya bunge la katiba mpya,leo hii akigusiwa suala la katiba mpya anakua mbogo na anajifanya kama halitambui na ni suala jipya kabisa kwake!!
Hao wanaolialia na katiba mpya si ndiyo walifyatuka bunge la katiba pamoja na akina Prof Lipumba wakaenda kuanzisha UKAWA huku wakigomea makubaliano ya wengi ndani ya bunge la katiba? Sasa wanahangaika na nini tena hawa akina Lissu!

Wacha katiba ya sasa iendelee, sitaki kusikia tena katiba mpya! Mmesikia?
.
 
Back
Top Bottom