Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Kwa hizi kauli za Lissu bahati yake maza kawakuta CDM wametulizwa na mtangulizi wake. Kwa sasa bado waoga waoga kupima kina cha maji bado kuna system ile ile nyuma ya pazia au hii mpya.
Kwa upande fulani natamani Lissu harudi bongo halafu wauanzishe mziki wao bara CDM kama ilivyokuwa kabla ya 2016 na kule visiwani uamsho wafanye yao.
Hiyo support yao aitakuwa ndogo safari hii dah watu wanalalamika gharama za maisha kupanda ghafla yaani wenye elimu zao walioamua kujiajiri kwenye mapishi pishi wanakwambia ailipi bora watafute kazi tu biashara iwe part time.
Lissu harudi hiyo ndio namna pekee ya hawa viongozi wenye short ‘memory span’ wataelewa kwanini Magufuli aliongoza kwa mtindo alioutumia kwenye kupambana na upinzani, wahujumu uchumi na mafisadi.
Truth be said bi tozo akubali 2025 kama kuna namna wafanye swap na Mwinyi.