Sasa kama Watanzania hawataki katiba mpya kazi ya Warioba kukusanya maoni alipewa ya nini ..... na wale waliotoa hayo maoni walitoka wapi kama Watanzania hawaitaki katiba mpya.Hivi hiyo katiba mpya ni kwaajili ya HAO walioamua KUTAFUTA Kwa mbinu zao binafsi au ni Kwa watanzania wote?
Kama Kuna watu wanataka katiba mpya na wengine hawataki basi wote Wana haki Sawa.
Issue ya wasiojulikana wapo nchi zote na malengo Yao ni kuondoa SUMU mbaya pamoja na wapika SUMU ili waliowengi wasiangamie Kwa SUMU.
Anachokisema Lissu ni kweli. Maza kwa sasa ni muda tu ndiyo utatwambia.
Kwa njinsi anavyoyataka madaraka 2025 ni lazima tu attatumia Umafia kuhakikisha hilo linawezekana. Bila vyombo vya dola Maza kama Maza hawezi kutoboa.
He is talking too much, anaenda kuwa irrelevant soon huyu Lissu
He is talking too much, anaenda kuwa irrelevant soon huyu Lissu
Si alikuja 2020 akitegemea atakuwa relevant!Kama manyanyaso,uonevu,mashambulizi,kesi vifungo,havijawafanya irrelevant,jiandae kama SII upande wako uta kuwa irrelevant,basi tayari ni irrelevant 😜
Tuambie hiyo sumu ni ipi?Hivi hiyo katiba mpya ni kwaajili ya HAO walioamua KUTAFUTA Kwa mbinu zao binafsi au ni Kwa watanzania wote?
Kama Kuna watu wanataka katiba mpya na wengine hawataki basi wote Wana haki Sawa.
Issue ya wasiojulikana wapo nchi zote na malengo Yao ni kuondoa SUMU mbaya pamoja na wapika SUMU ili waliowengi wasiangamie Kwa SUMU.
Si alikuja 2020 akitegemea atakuwa relevant! Alichokipata ni kipi??
Si alikuja 2020 akitegemea atakuwa relevant! Alichokipata ni kipi??
Kama hutaki mwanasiasa aongee unataka acheze ngoma?He is talking too much, anaenda kuwa irrelevant soon huyu Lissu
Eti 'The so called tume huru' !Wanabodi, sehemu ya mazungumzo ya fuatayo ni msimamo wa Lissu dhidi ya watu husika na mambo tajwa hapo juu. Mengi amewahi kuonya ama kuyaweka bayana na yakajiri,alikua wa kwanza kusema wazi wazi Magufuli ni dikteta na raisi wa ajabu,akasema kuhusu watu wasiojulikana na mauaji ya MKIRU,yalijiri!!
Zaidi msikilize Lissu mwenyewe kwenye kiambatbishi!
View attachment 2163100
Zitto anadhani atapata jimbo awe mbunge na ataachiwa majimbo na CCM! Jinga sana Zitto, msaliti wa dini.Wanabodi, sehemu ya mazungumzo ya fuatayo ni msimamo wa Lissu dhidi ya watu husika na mambo tajwa hapo juu. Mengi amewahi kuonya ama kuyaweka bayana na yakajiri,alikua wa kwanza kusema wazi wazi Magufuli ni dikteta na raisi wa ajabu,akasema kuhusu watu wasiojulikana na mauaji ya MKIRU,yalijiri!!
Zaidi msikilize Lissu mwenyewe kwenye kiambatbishi!
View attachment 2163100
Hao wanaolialia na katiba mpya si ndiyo walifyatuka bunge la katiba pamoja na akina Prof Lipumba wakaenda kuanzisha UKAWA huku wakigomea makubaliano ya wengi ndani ya bunge la katiba? Sasa wanahangaika na nini tena hawa akina Lissu!Rais Samia mwaka 2014 ndie alikua Makamu Mwenyekiti wa kamati maalumu ya bunge la katiba mpya,leo hii akigusiwa suala la katiba mpya anakua mbogo na anajifanya kama halitambui na ni suala jipya kabisa kwake!!
Ndiyo acheze ngomaKama hutaki mwanasiasa aongee unataka acheze ngoma?