Lissu atoa msimamo rasmi dhidi ya Rais Samia, Zitto Kabwe, Katiba Mpya na ACT Wazalendo

I see: getting relief from the “the power of fools in large numbers”.

Hakuna fahari katika kuona watanzania wengi “hawana habari” na yanayoendelea mitandaoni wala uhitaji wa katiba mpya.

Ni dharau ya watawala kwa wananchi.
 
Nimetumia uzoefu wa 2010 mchakato ulianzishwa/ ulipata baraka za Mh Rais Mstaafu Mzee JK Kikwete. Na amini aliongozwa na sheria na si akili zake.

Wakati huo msimamo wangu ulikuwa ni ama serikali tatu au moja.
Moja inatosha kabisa. Tatu za nini, watu kujaza matumbo yao?

Hawa watu visiwani walipewa muda wa kujiandaa kuwa Tanzania. Sasa inatosha, haiwezekani kuendelea kulea watu kama watoto.

Kama bado hunielewi, basi nasemaaaa "Muungano ni Daima", hakuna mtu wa kuuvunja.

Tuache sasa kubembelezana.
 
Na wewe unamuona uyo mwinyi ndio wa maana ni Kilaza kuwahi kutokea ila kwa vile mtu wa bara mwenzenu anawafaa Mwinyi mabati
 
Muulize Rais Samia kwanini kaunda kikosi maalumu. Ndio utajua wanatafuta nini
 
Na wewe unamuona uyo mwinyi ndio wa maana ni Kilaza kuwahi kutokea ila kwa vile mtu wa bara mwenzenu anawafaa Mwinyi mabati
Hayo mabati ajayatandaza Zenji nzima kama mapambo, yakitoka hapo uwa uliozungushiwa kuna mijengo ya kiuchumi na maendeleo ya maana kabisa.
 
Tumemchoka na Lissu kwanza anatakiwa aeleze ni kwanini Mbowe baada ya kukaa jela kwa miezi 8 tu na mahakama ikamkuta na kesi ya kujibu lakini kabla ya kujibu DPP anaondoa nia ya kutoendelea na mashataka dhidi yake halafu Mbowe direct Ikulu kabla hata kufika nyumbani kwake.,

ajibu hili suali
ndio tumsikilize otherwise wananchi tumechoka kufanywa punguani na hawa wanasiasa uchwara
 
Ujumbe huu tulishauelewa. Lissu alichofanya ni kutoa muhitasari tu kwa ajili ya kuweka rekodi sawa.

Akina Zitto na wenzake wanadhani wanaweza kujificha
 
Jishughulishe kutafuta habari makini. Alishaongelea hilo. Tatizo we mshabiki wa Mondi na Konde boy.
 
Jishughulishe kutafuta habari makini. Alishaongelea hilo. Tatizo we mshabiki wa Mondi na Konde boy.
Hakuna alipoongea mkuu aliulizwa hili suali akajibu aulizwe Mbowe mwenyewe, sasa inaonekana chadema wanavurugana wenyewe kwa wenyewe, hatuna muda wa kumsikila Tundulisu mpaka atakaponyoosha maneno kuhusu huu udalalai alioufanya kule belgium akiwa na mama lakini akimshirikisha mbowe
 
Wewe ndio unatamani Chadema wavurugane. Utasubiri sana
 
Wewe ndio unatamani Chadema wavurugane. Utasubiri sana
Chadmea kwisha mkuu, je uliwahi kumsikia msigwa akisema chochote Mbowe alivyoenda Ikulu? Heche? Lema? Lissu?, Chadema imekwisha
 
Waliotoa maone kwenye tume ya Warioba walikuwa wangapi?

Waliotoka nje kwenye bunge la katiba walikuwa wangapi?

Kanuni za Bunge zinasemaje ndani ya Bunge kuhusu upigaji kura!

Kuna masilshi mahali fulani
 
Zamu yetu wazanzibari,zamu yetu dini yetu!!!

NB- Hata Zitto hutomsikia hata siku moja akimkosoa mwenzetu!!
 
Mini kwa maoni yangu tungeanza kwanza kudai Uhuru wa Tanganyika maana tunatawaliwa na Zanzibar.

Hivi ni sahihi Watanganyika zaidi ya milioni 60 tumekubali kutawaliwa na Wazanzibari wasiozidi milioni 3?

Halafu tunakenua meno kama mazuzu na kumsifia huyo Mkoloni wa Kike eti anaupiga mwingi!

Tuidai Tanyanyika yetu kwanza ndo mambo mengine yafuate
 
Huyu mnyiramba ni mjinga sana saa zingine.

Anataganza yeye umwagaji damu halafu anamsingizia Samia. Ni mpumbavu tu huyu.
Wapi ametangaza umwagaji Damu...alichosema na kuhamasisha ni "mass movement" sasa kama polisi wakitoka na kupiga watu walioko kwenye movement na waka mwaga damu..utasema ni Lissu!

itakuwa ni mwenye mamlaka ndio kaamuru hivyo!
 
Wapi ametangaza umwagaji Damu...alichosema na kuhamasisha ni "mass movement" sasa kama polisi wakitoka na kupiga watu walioko kwenye movement na waka mwaga damu..utasema ni Lissu!

itakuwa ni mwenye mamlaka ndio kaamuru hivyo!
Nadhani kuna maneno ya Kingereza kayaongea yamekupiga chenga, msikilize vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…