Lissu atoa msimamo rasmi dhidi ya Rais Samia, Zitto Kabwe, Katiba Mpya na ACT Wazalendo

mo nae alikuwa na sumu mbaya?
 
Nimemsikiliza hakuna anapohamisisha umwagaji damu...
Msikilize tena kuanzia dakika ya 12, mpaka pale anaposema njia pekee ya kupata katiba mpya ni through "blood...."

Maana yake nini hiyo? Au Kingereza kinakupiga chenga?
 
haya matamko ya twitter spaces yamezidi sasa hatujui ni ya msimamo wa chama au mtu binafsi, maana kila session ya hizo spaces kuna matamko mapya
 
Lissu siyo muoga
 
Msikilize tena kuanzia dakika ya 12, mpaka pale anaposema njia pekee ya kupata katiba mpya ni through "blood...."

Maana yake nini hiyo? Au Kingereza kinakupiga chenga?
Nimemsikiliza anasema through blood ...(haisikiki vizuri inakwama lakini nadhani ni..blood spill, and tears....lakini hiyo blood spill hasemi kama wao ndio watakao sababisha....inachomaanisha ni kuwa watu wawe tayari kumwaga damu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…