Uchaguzi 2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

Uchaguzi 2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

This time around Tanzania inakwenda kumulikwa na dunia nzima vile haijawahi kutokea...... !!!!!
Sitashangaa kama cases za Corona zikiongezeka kipindi cha kukaribia uchaguzi ili Waanzangalizi wasije kama walivyofanya Burundi ...!!!
 
Lisu kachacha hata suti haja mechisha koti kivyake,suruali kivyake kasuruali ka mtumba halafu ona viatu hata kiwi hajapiga kwa kuchacha

Ona hadi anatembea na chaja ya simu kawaomba hiyo hapo ukutani aweke simu yake ichaji ajipige hii selfie picha aliyopost

View attachment 1505613
Unaanza kumjadili YEYE badala ya HOJA,simu gani kubwa vile?
 
View attachment 1505610

Akutana na kuteta na Christian Kattner ambaye ni Katibu Mkuu wa IDU
Hawa akina IDU ni akina nani? Kwa uelewa wangu, hawa ni Non Government Organization (NGO) ya huko Ulaya au Ujerumani, to be specific kama mtoa mada alivyo sema. Sasa hawa wanataka kutuelekeza kweli nini sisi kamanchi huru tufanye kumhusu Lissu, kweli? Kweli? Tumerogwa au tumepagawa? Can an NGO based in Europe dictate to us, a sovereign country what to do to one diaspora (mzamiaji) who has been insulting the government and has now decided to come back after handout givers have beenfed by him? Jamani let us be serious and see things in their right perspective badala ya upenzi na ushabiki usio na TIJA.
 
Satellites zote zitaelekezwa Tanzania! Mwambieni Sirro huu si wakati wa kuwapiga watanzania kama “mbwa koko”! Haya!

Huu ni mtego mkubwa sana kwa mabeberu dhidi ya Tz. Viongozi wanapaswa kuto kumfanya chochote na wampuuze tu. Lakini wakianza kumbughudhi yajayo yatakuwa mabaya kuliko sasa
 
Back
Top Bottom