Lissu atuhumu wabunge kuhongwa, waandishi walipewa 6m na DP World

Lissu atuhumu wabunge kuhongwa, waandishi walipewa 6m na DP World

Balile Tangu nilipomuona mama kila sentensi anamtaja nikajua hawezi kuwa Tena Huru kabisaa kwahili wamehongwa wengi BALILE KINA KITENGE NK ila wanauza nchi kwa vipande 30 vya Fedha hawataweza kuishi kwa Amani Balile tulikuamini sanaa Rushwa Rushwa Rushwa tupuu watu wamesafirishwa kama magunia na wengine wamerudi Tena Leo ili wazidi kutudanganya

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema

DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"


Ehh Mungu baba, nakushukuru kwa ajili ya maisha ya TL, hakika huyu ni shujaa alielindwa Kwa ajili yetu wa TZ, alafu hawa wote waliotuuza kwa Waarabu, si utende jema na wao wakaimbishe Malaika wa Shetani huko kuzimu tu, tunaomba utuamulie kesi baba🙏🙏🙏
 
Ni kweli maana haiwezekani wabunge 30 waende wote Dubai ?nani alilipa gharama zao zote za wabunge wa Jamhuri ya Muungano .

Wakati kamati za kudumu za bunge la Muungano hazina idadi hiyo kubwa ya wabunge mfano LAAC, PAC, Miundo-mbinu, Mambo ya Nje na Ulinzi kwa kutaja kwa uchache ambao wajumbe chache ndiyo hutakiwa kuzama sana kuelewa miswada, miradi n.k Sana kundi lote hilo kuhamia Dubai ni harufu ya rushwa na kupewa milungula


TOKA MAKTABA :

Kamati ya Bunge ya LAAC imetembelea Mradi wa Machinjio ya Kisasa Ndembezi
View attachment 2662515
Kamati ya Bunge ya (LAAC) imetembelea Mradi wa Machinjio ya Kisasa Ndembezi katika Manispaa ya Shinyanga na kuuagiza Uongozi wa Manispaa hiyo kufanya jitihada za maksudi kuimarisha eneo la Masoko kwa kuongeza idadi ya mbuzi na ngombe wanaotakiwa kuchinjwa ili mradi uwe na tija.
Akizungumza mara baada ya Wajumbe wa LAAC, Makamu Mwenyekiti Mhe. Selemani Zedi akasema kamati inashauri licha ya kukamilika kwa mradi huo lakini idadi ya ngombe wanaotakiwa kuchinjwa haitoshi kulingana na uwezo wa machinjiyo hayo.
“Tumeona mradi umekamilika na umeanza kufanya kazi lakini tulichobaini ni kwamba mradi ni mkubwa lakini kwa sasa hakuna ngombe na mbuzi wa kutosha kufikia kiwango cha uzalishaji kilichopo.
Ameongeza kwamba lengo la miradi ya kimkakati ni kuzifanya halmashauri zijitegemee ziwe na vyanzo vya mapato hivyo kuutaka uongozi wa Manispaa ya Shinyanga kuongeza ubunifu ili mradi huo uwe na manufaa zaidi.


Spika afanya mabadiliko ya Wajumbe wa Kamati ya Masuala ya UKIMWI​

View attachment 2662516
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (Mb) amefanya mabadiliko ya Wajumbe wote Ishirini na nne (24) wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI kwa kuunda upya kamati hiyo na kuteua wajumbe Wapya Kumi na sita (16) ambao pia watakuwa ni wajumbe katika kamati nyingine za Kudumu za Bunge.
Mabadiliko haya yamelenga kuwawezesha Wabunge kujifunza na kujipatia uelewa na uzoefu zaidi katika kutekeleza shughuli mbalimbali za Kamati za Bunge ambapo Wabunge wote waliokuwa Wajumbe wa Kamati ya Masuala ya UKIMWI hapo awali, wamepangiwa Kamati zingine kwa nia ya kuboresha Utekelezaji wa majukumu ya kibunge.
Msingi wa Mabadiliko haya unatokana na Ibara ya 96 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 inayolipa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mamlaka ya kuunda Kamati za Bunge za namna mbalimbali kadri linavyoona inafaa kwa ajili ya kurahisisha utekelezaji wa majukumu yake na Kanuni ya 116 (3) – (5) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 inampa Spika Mamlaka ya kuteua Wabunge ili wawe Wajumbe katika Kamati mbalimbali za Bunge ikiwa ni pamoja na Mamlaka ya kuongeza, kubadilisha au hata kupunguza idadi ya Wajumbe katika Kamati za Kudumu za Bunge.
Kwa mujibu wa waraka Na.5/2016 wa Mhe. Spika kwa Wabunge wote wa Tarehe 7 Oktoba, 2016, Mabadiliko haya yataanza kutekelezwa mara moja kuanzia mwezi huu Oktoba, 2016 ambapo Wajumbe husika watakutana kwa ajili ya kufanya Uchaguzi wa Viongozi wao na kuandaa Ajenda za Vikao vya Kamati. Orodha ya wajumbe wapya 16 wa Kamati ya Masuala ya UKIMWI na orodha ya wajumbe 24 waliobadilishwa kutoka kamati hiyo na Kamati mpya ni kama ifuatavyo:-
ORODHA YA WAJUMBE WAPYA WA KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI
__________________________________________
NA.
JINA
KAMATI YAKE NYINGINE
1.​
Mhe. Asha Abdullah Juma, MBPia ni Mjumbe wa Katiba na Sheria
2.​
Mhe. Daniel Edward Mtuka, MBPia ni Mjumbe wa Sheria Ndogo
3.​
Mhe. Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile, MBPia ni Mjumbe wa Huduma na Maendeleo ya Jamii
4.​
Mhe. Dkt. Hadji Hussein Mponda, MBPia ni Mjumbe wa PAC
5.​
Mhe. Dkt. Jasmine Tiisekwa Bunga, MBPia ni Mjumbe wa Huduma na Maendeleo ya Jamii
6.​
Mhe. Gibson Blasius Meiseyeki, MBPia ni Mjumbe wa Katiba na Sheria
7.​
Mhe. Joseph Kizito Mhagama, MBPia ni Mjumbe wa Katiba na Sheria
8.​
Mhe. Juliana Daniel Shonza, MBPia ni Mjumbe wa Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama
9.​
Mhe. Kemirembe Julius Lwota, MBPia ni Mjumbe wa Ardhi, Maliasili na Utalii
10.​
Mhe. Lucia Ursula Michael Mlowe, MBPia ni Mjumbe wa Huduma na Maendeleo ya Jamii
11.​
Mhe. Mary Deo Muro, MBPia ni Mjumbe wa Miundombinu
12.​
Mhe. Martha Mlata, MBPia ni Mjumbe wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira
13.​
Mhe. Masoud Abdalla Salim, MBPia ni Mjumbe wa Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama
14.​
Mhe. Oscar Rwegasira Mukasa, MBPia ni Mjumbe wa Nishati na Madini
15.​
Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo, MBPia ni Mjumbe wa Viwanda , Biashara na Mazingira
16.​
Mhe. Yussuf Kaiza Makame, MBPia ni Mjumbe wa Nishati na Madini
ORODHA YA WALIOKUWA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA
UKIMWI NA KAMATI WALIZOHAMISHIWA

NAMBA
JINA
KAMATI
ALIYOHAMISHIWA
Mhe.Hassna Sudi Katunda Mwilima,MbMambo ya Nje, Ulinzi na Usalama
Mhe.Constantine John Kanyasu,MbUwekezaji wa Mitaji ya Umma(PIC)
Mhe. Muhammed Amour Muhammed,MbUwekezaji wa Mitaji ya Umma(PIC)
Mhe. Sixtus Raphael Mapunda,MbUwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)
Mhe.Juma Kombo Hamad,MbKatiba na Sheria
Mhe. Mattar Ali Salum,MbKilimo, Mifugo na Maji
Mhe.Savelina Sylvanus Mwijage,MbHuduma na Maendeleo ya Jamii
Mhe. Khalifa Mohammed Issa,MbUtawala na Serikali za Mitaa
Mhe.Abdallah Haji Ali,MbHesabu za Serikali(PAC)
Mhe. Waitara Mwita Mwikabe,MbUtawala na Seikali za Mitaa
Mhe. Khamis Yahya Machano,MbMambo ya Nje, Ulinzi na Usalama
Mhe.Sikudhani Yasini Chikambo,MbHuduma na Maendeleo ya Jamii
Mhe. Zuberi Mohamedi Kuchauka,MbMiundombinu
Mhe. Mgeni Jadi Kadika,MbHesabu za Serikali za Mitaa(LAAC)
Mhe. Hussein Nassor Amar,MbHuduma na Maendeleo ya Jamii
Mhe.Richard Philip Mbogo,MbHesabu za Serikali za Mitaa(LAAC)
Mhe. Grace Victor Tendega,MbHuduma na Maendeleo ya Jamii
Mhe. Elibariki Emmanuel kingu,MbSheria Ndogo
Mhe. John Peter Kadutu,MbHesabu za Serikali za Mitaa(LAAC)
😳😳😳Umetokea wapi??
 
Suala la bandari zote za Tanganyika kupewa DPW mwarabu ni aibu sana sana, hasa kwa wabunge wote waliopitishwa kwa mchongo na mwendazake. Maneno yao, matendo ya, mienendo yao, maongezi yao, hata na mavazi yao yanawasuta. Historia mbaya itakuwa juu yao, nao wataenda zao kama mwendazake.
Pia kuna mashaki maandazi na njaa kali, kwani wakati watu wanaongelea issues nzito, wengine wanachikulia poa, wanamzodoa Pasco, hivi nyie mna vichwa au bilinganya?
Mjue kwenye issues hizi za maslahi kwa Taifa (Tanganyika) huwa tunaungana na kuweka kando tofauti za kichama na kiitikadi.
Amka wee Mtanganyika!
 
Back
Top Bottom