johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwanini?Watafungiwa kutangaza hii habari.
Unajifanya hujui?!!Kwanini?
Mnakariri ubaya tu, habari ikiripotiwa maneno, isiporipotiwa lawama. Kipi cha kufanya ifungiwe hapo?Unajifanya hujui?!!
Mingejua ningekuuliza bwashee?Unajifanya hujui?!!
Mikoa ya jirani mkuu CCM mbona tupo ivyo sikuizi kama tumechanganyikiwa sana na LisuAnaitisha mahakama??
Wanachadema wa singida usafiri utapatikana??
Huko Ni kuingilia Uhuru wa kisheria ndio maana vyombo vya habari vimemsusa na Leo kiongozi wa jukwaa la wahariri Tanzania katamka wazi kuwa. HawatarushaOle wao wamuengue Tundu Lissu nasema ole wao
Mahakama imeanza kuzaraulika tangu ile kesi ya akwelina na kabenderaAsipoenda mahakama zetu zitaanza kuzaraulikaa