Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Tunamsubiri aliyezoea kuita watu wapumbavu.Huko Ni kuingilia Uhuru wa kisheria ndio maana vyombo vya habari vimemsusa na Leo kiongozi wa jukwaa la wahariri Tanzania katamka wazi kuwa. Hawatarusha
au kuandikwa habarii ya mgombea yeyote anayetukana au kuleta uchochezi