Lissu awaalika Wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kufika Mahakamani Kisutu kwa wingi tarehe 26 kusikiliza shauri lake

Lissu awaalika Wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kufika Mahakamani Kisutu kwa wingi tarehe 26 kusikiliza shauri lake

Hata akigombea han kitu huyo
Wale wanaLumumba ndiyo wadau wakubwa wa kutaka Tundu Lissu awekewe viunzi hivyo wajitokeze kwa wingi ili wajue hatma ya mgombea wao wa CCM maana wanamsaidia kwa kujaribu kuwawekea wapinzani wa mgombea wa CCM vikwazo mbalimbali ili apata ushindi wa mezani.
 
Kesi Ni yake wanaohitajika Ni yeye,mawakili na Hakimu mbona anahaha kualika watu lile eneo dogo Ni kujaza watu Bila sababu

Kama kesi ni yake yeye , wewe mbona unakatika maini JF ???
 
Huko Ni kuingilia Uhuru wa kisheria ndio maana vyombo vya habari vimemsusa na Leo kiongozi wa jukwaa la wahariri Tanzania katamka wazi kuwa. Hawatarusha
au kuandikwa habarii ya mgombea yeyote anayetukana au kuleta uchochezi
Wewe na huyu akili zenu mmeziazimisha kwa muda. Hao akins Nape wanaongea marashi siyo? Usiwe nyumbu,Aman na haki havitengwi nakupa kwa faida yako na familia yako na taifa kwa ujumla
 
Siku zote ukiwa katika mashindano, halafu ukatenda sawasawa na adui yako alivyokuwa akikutegemea utafanya, ujue umeshindwa.

Katika hili CCM wameshindwa. Wanaangukia kwenye ncha ya kwanza iliyotarajiwa. Na huenda watazimaliza ncha zote 4.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What a foolish move, kwani hukumu ikitolewa , unadhani hilo genge la wakora litamsaidia. Badala ya kuacha kesi iende wanavyotaka na wananchi wataamua la kufanya, unatushawishi, haiwezekani zindikizwa na viongozi wa chadema na familia zao
 
Akiongea na waandishi wa habari, leo ndugu Tundu Lissu ameelezea kirefu taarifa za njama za kumuengua kugombea kupitia kumfungulia mashitaka mapya ya papo kwa papo pindi akienda kusikiliza mashauri yake ya zamani.
Lissu amesema taarifa za uhakika walizo nazo kutoka katika vyanzo vya taarifa ndani ya serikali ni kuwa, mpango uliosukwa ni kuwa tarehe 26 imechaguliwa makusudi kwa sababu tarehe hiyo ndiyo tarehe pia ambayo kama kuna mapingamizi huko NEC ya kugombea, basi mgombeaji anapaswa awepo kuyajibu. Hata hivyo kwa upande wa Lissu tarehe hiyohiyo amepangiwa awepo mahakamani kuendelea na mashauri yake. Lissu amesema taarifa walizonazo ni kuwa akifika mahakamani atasomewa mashitaka mengine mapya ya papo kwa papo, kunyimwa dhamana kisha kesi kuahirishwa tarehe ya kutajwa na kisha kunyimwa dhamana ili asiweze kwenda NEC kujibu mapingamizi yoyote yatakayoibuliwa na hivyo kuwa kuondolewa katika kugombea!

Lissu amesema, kuwa kesi za jinai ni kesi za hadhara ambapo umma unaruhusiwa kwenda kuzisikiliza, hivyo anawataka wananchi wa Dar na mikoa ya jirani wahudurie mahakamani siku hiyo!

Pamoja na shauri lake kutajwa tarehe hiyo, Lissu hajawwka wazi msimamo wake kuwa Je atakwenda yeye binafsi au hatakwenda, lakini kwa jibu alilolitoa kwa mwandishi wa habari ameonyesha kuwa Jambo la kugombea ambayo ni haki yake ya kikatiba analipa kipaumbele zaidi.

Kwa habari zaidi tazama video hii:

Sijui alisomea wapi sheria.

Kuidanganya mahakama huku ukianika namma unavyoidharau kisha unaanza kuitishia isikuhoji lolote kuhusiana na mwenendo wako wa hovyo ili upate lako ni upuuzi.

1.
Alisema amejiweka self quarantine katika session aliyopaswa kuwepo wakati amerejea nchini. Alipowasili alijumuika na makumi ya wafuasi wake pale airport na baadaye viongozi pale ufipa.

Akaendelea na mikusanyiko yake bila kuzingatia social distance wala protective measures kama vile kuvaa barakoa...

2.
Another session ya mahakama akatoa udhuru kwamba anasaka wadhamini hivyo hawezi kuhudhuria mahakamani....

Mimi niliwahi kuwa na daawa mahakamani nakumbuka endapo nitaona kuna ratiba nitamiss mahakama basi naomba ruhusa ya maandishi kwa mhe. Hakimu na kuwapa nakala mwendesha mashtaka na mdhamini wangu.... kumbuka mie siyo nguli wa sheria lakini ninaheshimu taratibu za mahakama na kufuata hatua zote kuniweka mtiifu kwa mahakama.

3.
Anatumia kauli za vitisho ambapo anaiporomosha hadhi mahakama ambayo kwa taaluma yake anapaswa kuwa mtiifu kwayo na zaidi ya hapo awe mfano bora kabisa wasio watiifu kwa mahakama na sheria za nchi.


4.
Akwende zake
 
Akili kubwa hii!!

Anyway,ili waanguke,ni lazima wakose busara,maarifa na zaidi wawe na viburi, na pia waendelee kuyatenda haya kabla ya wao kuanguka.

Hata Yesu,kutokana na kiburi cha Wanadamu, ilimpasa kupita katika kipindi kigumu kabla ya kukamilisha kazi aliyokuwa ametumwa.

Tukumbnuke tu Mungu ni yule yule na bado anatenda yale yale hata kwa wanadamu wa leo.

Muda utathibitisha.
Huyo ni mbumbumbu wa sheria.

Muoga na mhuni
 
Kesi Ni yake wanaohitajika Ni yeye,mawakili na Hakimu mbona anahaha kualika watu lile eneo dogo Ni kujaza watu Bila sababu
Anapambana kuonyesha bwana zake kuwa anaitumikia fedha aliyolipwa..

Anafurukuta kila kona anajikuta yupo peke yake
 
dili la kumsomea mashitaka mpaya lishabumburuka - ccm watajifanya kama hawana time naye kabisa. hakimu anaweza asitokee ama akatokea na shauri likapangwa miezi 2 ama 3 mbele bila masharti yoyote kwa mshitakiwa.
 
Mahakama imeanza kuzaraulika tangu ile kesi ya akwelina na kabendera
Anayeidharau mahakama hawezi kujitapa kiwa anaheshimu katiba na sheria za nchi.

Hatuendeshwi na siasa za kitopolo
 
Tundu kasema kuna haki ya faragha maana siri, hivyo kuona mwanaume na mwanaume na kufunga ndoa bado itakua faragha...??
 
Haisaidii, waende wakarushe stori za Jiwe za kudhalilisha wanawake.

At the end of the day consumer ni wananchi, tukiona magazeti yenye habari tusizotaka hatununui

Tukisikia propaganda za jiwe tunabadirisha chaneli.

Mteja ni mfalme!
Hauna ubavu huo.
 
Back
Top Bottom