Wale wanaLumumba ndiyo wadau wakubwa wa kutaka Tundu Lissu awekewe viunzi hivyo wajitokeze kwa wingi ili wajue hatma ya mgombea wao wa CCM maana wanamsaidia kwa kujaribu kuwawekea wapinzani wa mgombea wa CCM vikwazo mbalimbali ili apata ushindi wa mezani.
Kesi Ni yake wanaohitajika Ni yeye,mawakili na Hakimu mbona anahaha kualika watu lile eneo dogo Ni kujaza watu Bila sababu
Mahakama imeanza kuzaraulika tangu ile kesi ya akwelina na kabendera
Wewe na huyu akili zenu mmeziazimisha kwa muda. Hao akins Nape wanaongea marashi siyo? Usiwe nyumbu,Aman na haki havitengwi nakupa kwa faida yako na familia yako na taifa kwa ujumlaHuko Ni kuingilia Uhuru wa kisheria ndio maana vyombo vya habari vimemsusa na Leo kiongozi wa jukwaa la wahariri Tanzania katamka wazi kuwa. Hawatarusha
au kuandikwa habarii ya mgombea yeyote anayetukana au kuleta uchochezi
Unaijua mahakama kubwa kuliko zote?K
Kwani ameshatoka karantini? Mambo ya kesi anende mahakamani asisemee mitaani yeye si mwanasheria msomi duniani
Huyu ni mpenda fujoMwanasheria nguli anayeiogopa mahakama.
Mbona Jiwe alishirikiana na Babu Seya!Iweje mgombea wenu ameshirikiana na watetea ushoga kusaka kiki duniani?
Si mwana cdm kindaki ndaki yuleHujakatazwa kumchangia
Sijui alisomea wapi sheria.Akiongea na waandishi wa habari, leo ndugu Tundu Lissu ameelezea kirefu taarifa za njama za kumuengua kugombea kupitia kumfungulia mashitaka mapya ya papo kwa papo pindi akienda kusikiliza mashauri yake ya zamani.
Lissu amesema taarifa za uhakika walizo nazo kutoka katika vyanzo vya taarifa ndani ya serikali ni kuwa, mpango uliosukwa ni kuwa tarehe 26 imechaguliwa makusudi kwa sababu tarehe hiyo ndiyo tarehe pia ambayo kama kuna mapingamizi huko NEC ya kugombea, basi mgombeaji anapaswa awepo kuyajibu. Hata hivyo kwa upande wa Lissu tarehe hiyohiyo amepangiwa awepo mahakamani kuendelea na mashauri yake. Lissu amesema taarifa walizonazo ni kuwa akifika mahakamani atasomewa mashitaka mengine mapya ya papo kwa papo, kunyimwa dhamana kisha kesi kuahirishwa tarehe ya kutajwa na kisha kunyimwa dhamana ili asiweze kwenda NEC kujibu mapingamizi yoyote yatakayoibuliwa na hivyo kuwa kuondolewa katika kugombea!
Lissu amesema, kuwa kesi za jinai ni kesi za hadhara ambapo umma unaruhusiwa kwenda kuzisikiliza, hivyo anawataka wananchi wa Dar na mikoa ya jirani wahudurie mahakamani siku hiyo!
Pamoja na shauri lake kutajwa tarehe hiyo, Lissu hajawwka wazi msimamo wake kuwa Je atakwenda yeye binafsi au hatakwenda, lakini kwa jibu alilolitoa kwa mwandishi wa habari ameonyesha kuwa Jambo la kugombea ambayo ni haki yake ya kikatiba analipa kipaumbele zaidi.
Kwa habari zaidi tazama video hii:
Huyo ni mbumbumbu wa sheria.Akili kubwa hii!!
Anyway,ili waanguke,ni lazima wakose busara,maarifa na zaidi wawe na viburi, na pia waendelee kuyatenda haya kabla ya wao kuanguka.
Hata Yesu,kutokana na kiburi cha Wanadamu, ilimpasa kupita katika kipindi kigumu kabla ya kukamilisha kazi aliyokuwa ametumwa.
Tukumbnuke tu Mungu ni yule yule na bado anatenda yale yale hata kwa wanadamu wa leo.
Muda utathibitisha.
Anaenguliwa na ole unabaki nayo tumboni.Ole wao wamuengue Tundu Lissu nasema ole wao
Anapambana kuonyesha bwana zake kuwa anaitumikia fedha aliyolipwa..Kesi Ni yake wanaohitajika Ni yeye,mawakili na Hakimu mbona anahaha kualika watu lile eneo dogo Ni kujaza watu Bila sababu
Anayeidharau mahakama hawezi kujitapa kiwa anaheshimu katiba na sheria za nchi.Mahakama imeanza kuzaraulika tangu ile kesi ya akwelina na kabendera
Hauna ubavu huo.Haisaidii, waende wakarushe stori za Jiwe za kudhalilisha wanawake.
At the end of the day consumer ni wananchi, tukiona magazeti yenye habari tusizotaka hatununui
Tukisikia propaganda za jiwe tunabadirisha chaneli.
Mteja ni mfalme!
Who the hell are they?Mkuu umesoma lkn ile barua ya Amsterdam nakuruhusu kaipitie tena