Lissu awaalika Wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kufika Mahakamani Kisutu kwa wingi tarehe 26 kusikiliza shauri lake

Kaka bado tu unazungumzia tu vyombo na majukwaa yaliyonunuliwa na Lumumba!pole saana. Wananchi hawadangayiki tena kwa taarifa yako
Unawaongelea wananchi wa keyboard yako au wepi haswa?
 
Mwambieni Lissu tuko tayari kumchangia pesa akodi ndege au helikopta,aende akalale Dodoma kesho,tarehe 26 akisha kamilisha taratibu zote pale NEC fasta imrudishe Dar kuhandle maswala ya kesi zake
Associate to crime
 
Huyu braza anawakosesha usingizi mafisadi.
Viongozi wadhalimu, madikteta yakimuona yanahisi kutetemeka, yanatamani yahamie sayari nyingine, poleni sana ccm, Lissu atawaongezea ugonjwa wa akili(maana tayari lumumba wote ni vichaa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…