Pre GE2025 Lissu awasili Mlimani City akiwa ndani ya gari yake aliyopigwa nayo risasi Dodoma na watu wasiojulikana, tena ikiwa bado na matundu yake ya risasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo ulitaka madudu ya mbowe yasisemwe? Huu ujinga wa kufichiana maovu mpo nao huko ccm tu
 
Kura za huruma zikoje/zina rangi gani?
 
Siundi picha wale waliompiga risasi wanajisikiaje wakimuona na hilo gari leo.
 
Kumbe wahuni ndo mashabiki wa Lisu, angalia video hii watu wanaopiga kelele LISU LISU na waliotulia utajua lisu anaenda kupigwa chini na hao waloketi kimya wenye busara zao.
Ukiangalia hata wanaosukuma gari la LISU wote ni wale wenye mihemuko- WANAOJUA KUTUKANA
 

Attachments

  • Katika hali isiyo ya kawaida hapa katika ukumbi wa Mlimani City kwenye mkutano mkuu wa Chama c...mp4
    4.9 MB
Hayo ni MATUNDU YA RISASI.

Hili ndio gari alilotumia kuenda kurejeshea FOMU ya kugombea Nafasi ya MWENYEKITI.

Hili ndio gari analitumia leo siku ya UCHAGUZI wa nafasi ya MWENYEKITI.

Hili gari ndio litamrudisha NYUMBANI kama mshindi wa NAFASI YA MWENYEKITI.

Gari inaendelea kuwa sehemu ya HISTORIA kwenye maisha ya TAL.

Kila lakheri.πŸ™‡πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€
 

Attachments

  • 8F899953-55B7-4B72-A90A-4F5BA5F68576.jpeg
    79.6 KB · Views: 3
SIKILI
LEMA ATAKIMBILIA KANADA SIKU MBILI ZIJAZO
 

Attachments

  • Umeme umekatika ghafla wakati Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akitoa neno lake la s...mp4
    4.7 MB
Kampeni za huyu mwanaume zimeanza mapema mno. Tena za kisanyansi na hali ya juu. Hta kumshitak huwez. Mpk gari linawambia wananchi nani mzalendo wa taifa na risasi zinapiga mhuri anayefaa kuwaobgoza wanachadema na Tz kwa ujumla
 
Rais hajavaa Bullet Proof?
 
Ni gari yake wewe wivu unautoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…