Uchaguzi 2020 Lissu aweza kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani

Uchaguzi 2020 Lissu aweza kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani

Mandiko yanasema,achimbae shimo atatumbukia mwenyewe;Naye abingirishaye jiwe litamrudia. Mithali 26:27.
 
Ama kweli Tundu ni 'toto Tundu' anachomfanyia utundu Magufuli Hadi anapewa bed rest.

Noma Sana![emoji16][emoji16]
 
Nadhani NEC wanamkuza sana Lissu pasipo kujua.
 
Majaliwa ameuvua lini Uwaziri Mkuu? Maana kwa sasa anafanya kampeni kama "MJUMBE WA HALMASHAURI KUU", usitumie masaburi kutetea upuuzi. Puumbavu.
safi sana good number ya maCCM ni wa pumbavu na Mijinga tuu
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Kassim Majaliwa akiendelea kupita sehemu mbalimbali kuwanadi wabunge na madiwani wa CCM .

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA naye ana haki ya kuwanadi wabunge na madiwani wa CHADEMA.
 
Wakuu heshima sana,

Sheria Number 5 ya mwaka 1992 viongozi ngazi ya kitaifa wa fursa ya kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani nchi nzima.

Kwakuwa Tume ya Uchaguzi imemzuia Lissu kufanya kampeni kwa siku saba,Lissu atatumia nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti Taifa kuwanadi wagombea Ubunge na Udiwani.

Ukijua hili wenzako wanajua kule

Ngongo safarini Zanzibar Kibanda maiti.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC ijibu pia hoja hii ya Waziri Mkuu kutumia kofia ya Mjumbe Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kumfanyia kampeni mgombea wa Urais John Magufuli wa CCM pamoja na wabunge na madiwani :

UCHAGUZI 2020: Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi . Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga
 
Vipi kuhusu haki stahiki anazopewa na dola akiwa kama mgombea urais (mfano ulinzi ), je ataendelea kupewa akianza kupiga kampeni kama m/mwenyekiti?

Kama jibu ni hapana. Itakuwaje kuhusu usalama wake?
Atapewa ulinzi anaopewa bashiru uleule
 
Back
Top Bottom