Uchaguzi 2020 Lissu aweza kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani

Mbona Chadema ni waoga sana nyie ?

Serkali ingemtaka huyo lissu hata Tanzania asingekanyaga

Huyo hakatwi tunasubiri tumfundishe October 28 kuwa usaliti kwa Nchi ni laana

Nenda kenya uulize uhuru kenyata alivyomfanyia yule Mwanasheria uchwara anayefanana tabia na lissu
 
Reactions: UCD
Wataingizwa mkenge Kama walivyouingia mtego wa TBC?

Maana TBC kwa kuwajua hulka zao, walifanya makusudi kabisa kukata kata matangazo. Kumbe TBC walifanya hivyo ili kujipa uhalali wa kutotangaza mikutano ya Chadema kwa kigezo kuwa wakifukuzwa.
 
Hapana tutamuacha ahukumiwe na Wananchi Oct.28th ,2020.

Baada ya hapo mahakama itaendelea na Majukumu yake kwa zile kesi ambazo zilikuwa pending sababu ya kampeni.
 
Sasa huu ni utabiri au ndo kanuni za tume zinavyosema? Mwanafunzi akimigomea mkuu wake wa shule unadhani nini kinafuta na kusimamishwa masomo huku kama atakaidi ni kuitisha bodi/kamati ya shule ili kufuta na kumtimulia mbali,

ÑB.naombea sana huyu jamaa akaidi ili makubwa yamkute
 
Reactions: UCD
Utaratibu gani wa Kisheria unao iwajibisha nec kama hawafuati na kuziishi Sheria za nec??
Wajuzi nijuzeni!
 
Kumwondoa lissu kwa uhuni huo ...basi hilo litakuwa ndiyo mwisho wa uchaguzi..

Or rather...!!

Magu ataapishwa ila ataambiwa na mataifa kwamba within 2 years atengeneze Tume huru, aitishe uchaguzi mpya...NA YEYE ASISHIRIKI.

Je CCM wanataka fedheha hii??
 
Hata wao wanajua kwamba NEC nitume ya CCM 'they have to dance to their tune "
 
CHADEMA ya 2015 siyo hii ya 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…