Urais sio kama udiwani
Asijiangaishe hiyo nafasi hatoshi
Tatizo ikifika muda anatokea mtu kutoka ccm anakuja upinzan na anapita bila kupingwa na lisu akisusa ataambiwa msaliti lkn hawa waliowakaribisha wasaliti na kuwapa nafac wao ni Mungu watu muda utaongea ngoja tuone
Tofauti na hapo Kampeni za mwakani zitapoa kama Uji wa mgonjwaHuyo au Zitto ndio wanafaa kugombea Urais kupitia Upinzani.
Kwaiyo. bora ule uchaguzi wa sumaye. Alikuwa mgombea pekeake na bado hakushinda !!! [emoji23][emoji23][emoji23]Sana. Unashindana na kivuli chako then unapata ujasiri wa kujitangazia ushindi wa 99.9999%[emoji14]. Madness at its highest order
I can understand after the translation of the paragraphs using these amazing sites Dead Trigger 2 MOD APK 2020 V 1.6.2 Hungry Shark World MOD APK V3.6.0 car jump starter 2020Leo nimempenda zaidi Lissu amejibu maswali vzr sana tena akiwa amerelax mno!
Na usivyomzalendo unaweza kuwapa taarifa KTN!!!chadema, mmepata wapi copyright ya kuweka logo yenu kwenye clip ya ktn?
Wanatakiwa kuburuzwa mahakamanichadema, mmepata wapi copyright ya kuweka logo yenu kwenye clip ya ktn?
hapana mkuu, nimeuliza tu swali nategemea wanasheria wasomi wanijibuNa usivyomzalendo unaweza kuwapa taarifa KTN!!!
Wanatakiwa kuburuzwa mahakamani
Kwa Kiswahili TV ya Kenya ni Boonge disrespect kwa aliyehojiwa, kwani hakuna Mkenya ataangalia hiyo interview, kwa kifupi siyo newsworthy kwa TV za Kenya, nod maana wamemtupia huko!
Yaani Mkuu huu ndio UKWELI NA UHALISIAKabla ya kuwaza urais, wapinzani wanapaswa kutafuta namna ya kudeal na hawa wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wakurugenzi wa Halmashauri na wanachama hai kabisa wa CCM. Otherwise ni kujidanganya na kutupotezea muda sisi wapiga kura.
I also think wapinzani wanalitambua hili vizuri sana ila nguvu ya ruzuku inawasukuma kuendelea na uchaguzi tu ili kutimiza wajibu. Siasa kwao ni ajira za kudumu.