Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

lukindo,


Elewa nilichomaanisha, hapa kwetu Kiswahili ni Lugha yetu hivyo kwanza ni ajabu kukuta Mtanzania anaangalia news za Kitaifa kwa English, lkn Kenya siyo hivyo, Kenya Kiswahili ni cha watu wasio na elimu, Kenya hata Kanisani Misa ya Kiswahili ni ya watu wa slums iko hivyo.

Sasa ukiona newsmedia za Kenya zimekutangaza kwa Kiswahili tu ujue wamekudharau, wapo wapigania wanyonge wengi kama huyo Bob Wine lkn wanatangazwa na English channels za Kenya na ndo maana wanajulikana.

Kwa kifupi news media za Kenya wakikutangaza kwa Kiswahili tu bila ya kukupa airtime ya English pia, ni kwamba wewe siyo muhimu kwao na viewers wao, hiyo ndiyo mentality yao.

Na ndo maana hakuna Mkenya anaongelea kuhusu Tundu Lisu hata huko kwenye social media, kwa maana hawakumpa umuhimu wala hawajui kwanza yeye ni nani, ila kwa kuwa yeye mpenda sifa halijui hilo anafikiri ni counter punch kwa P.Kabudi, kumbe anajidanganya, Kabudi alikuwa namba 3, baada ya Raisi Kenya, Makamu wa Raisi na wa 3 ni yeye kwa jinsi alivyotambulishwa na kupewa umuhimu, sasa huwezi shindana na mtu kama huyo.
 
Huyo au Zitto ndio wanafaa kugombea Urais kupitia Upinzani.
Tatizo ikifika muda anatokea mtu kutoka ccm anakuja upinzan na anapita bila kupingwa na lisu akisusa ataambiwa msaliti lkn hawa waliowakaribisha wasaliti na kuwapa nafac wao ni Mungu watu muda utaongea ngoja tuone
 
Sasa ukiona newsmedia za Kenya zimekutangaza kwa Kiswahili tu ujue wamekudharau, wapo wapigania wanyonge wengi kama huyo Bob Wine lkn wanatangazwa na English channels za Kenya na ndo maana wanajulikana.
BBC, VOA, DW, Xhuna, NHK, SABC, RFI nk wameweka channels za Kiswahili kumdharau nani!?
Kwa hiyo hii audience ikiwa targeted na hawa ni sawa lakini kwa KTN au TL wakitarget watu hao hao ni slums!?
Hapa ndipo unagundua bora kuwa uneducated kuliko kuwa miseducated (kulishwa matango pori)!
 
BBC, VOA, DW, Xhuna, NHK, SABC, RFI nk wameweka channels za Kiswahili kumdharau nani!?
Kwa hiyo hii audience ikiwa targeted na hawa ni sawa lakini kwa KTN au TL wakitarget watu hao hao ni slums!?
Hapa ndipo unagundua kuwa bora kuwa uneducated kuliko kuwa miseducated (kulishwa matango pori)!


Hii ni special case kwa Kenya, na siyo Dunia nzima.
Newsmedia za Kenya wanaotangaza kwa Kiswahili mlengwa ni Mkenya asiejua English, sasa lazima utambue Kenya hata kijana aliyefika Form 4 anajua english hivyo hawezi kuangalia news kwa Kiswahili, hivyo target ya news kwa Kiswahili ni wale ambao hawakubahatika kupata Elimu.

Hata ukinunua Gazeti la Kiswahili linaitwa Taifa leo wanakushangaa na wengine husoma kwa kujificha, mimi huwa huko mara kwa mara na nina washikaji huko hivyo najua ninachokiongea.

Hivyo ukiona wamekutangaza kwa Kiswahili tu bila ya English version ujue hauna umuhimu kwao nikimaanisha Watazamaji na wasikilizaji wao ni watu wa chini wasioojua english, na kwa Kenya hiyo ni dharau.

Kuhusu voa, sabc & co. audience na walengwa wao ni sisi, kama ni muhimu kwa USA watakutangaza kwa lugha zao pia!
 
Kwani huyo Zitto lazima agombee kupitia cdm? Anaweza kugombea kupitia chama chake, na kwa mtazamo wangu anafaa sana kwa nafasi hiyo, isitoshe ana utayari wa nafasi hiyo.

Ni kweli huyo Zito ana mapungufu yake kama hayo uliyotaja, je kuna mtu asiye na mapungufu? Ukimuacha Zitto na Lisu ambaye afya yake ya kimwili kwa sasa inaweza kuwa changamoto, ni nani anayeonyesha kuimudu nafasi hiyo?
U-snitch siyo mapungufu mepesi.Tusipende kurahisisha rahisisha mambo.
 
Mimi niko hapa Kenya Ratings za habari za kiswahili ni kubwa kuliko za kienglish

Zamani miaka ya 80s labda sio leo tuache kudanganyana Tundu Lissu anakubalika Afrika nzima.
 
What if mwandishi alitaka TL mwenyewe atamkie/awathibitishie Wakenya kuwa amevuliwa ubunge?

Everybody in the world knows Tundu Lissu sio mbunge tena, Wakenya sio wajinga. Kama ni lazima Tundu Lissu "... awatamkie mwenyewe... athibitishe" basi asingemu introduce kama mbunge aliyefukuzwa.

Total waste of time!

Ndio maana Benjamin Mkapa kasema wakienda BBC wanatemeshwa nyongo na "maswali ya kushambulia" !

There were a hundred million questions to bombard him with:

Unaongeleaje kugombea Urais unaishi ukimbizini?

Nani atakuhakikishia usalama wako, polisi na vyombo vilivyotaka kukuua au mashirika ya nje ya haki za binadamu?

Au tukuulize, nani unadhani alitaka kukuua, na nani atakulinda?

Unasema ubunge wa upinzani unapatikana kwa madhila, vipigo, jasho na damu, do you take responsibility kwa uzembe wa kutozingatia technical requirements za kumfahamisha speaker kwa maandishi kwa nini hurudi, hata kama ni figisu za dhuluma za CCM?

Magufuli anasema kajenga kilomita nyingi za lami in four years than four presidents in 50 years combined, unamkubali or why not?

Civic elections mlizosusia umesema ni uhuni wa CCM, kwa nini mnashindwa vijitu technical vidogo vidogo kama kufunzana paperwork requirements za kujaza fomu za uchaguzi mpaka 95% mnaenguliwa? Again, hata kama ni figisu za dhuluma za CCM. Mnajua CCM walifanya semina za kujaza fomu?

Ukiwa Washington DC umemshutumu Magufuli hajui Kiingereza, sisi ni Waingereza?

Mara ngapi unatuambia ukipona unarudi, ukipona unarudi, mpaka tarehe unapanga, nini kipya kimetokea ghafla kukufanya ujue usalama hakuna, vitisho vya Musiba?

Ukiwa Uingereza umeshutumiwa kwa kutetea haki za mashoga, toa ufafanuzi, ulitetea mashoga hukutetea mashoga, nyosha maelezo!

Incumbent president Magufuli anasema Nyerere, Mwinyi, JK na Mkapa wamejenga hospitali za wilaya 77 in 60 years, yeye peke yake kajenga 67 in four years, zitakuwa mbili kila wilaya, kwa nini humkubali???

Akijibu tatizo demokrasia unamwambia kwa nini hakuna demokrasia CHADEMA, uchaguzi especially wa mwenyekiti hakuna, mpaka Sumaye kasema demokrasia hakuna CHADEMA, mtabadilika lini?
 
Hiyo airtime aliyopewa Kenya ni dharau sana kwake, hakuna Mkenya anaangalia News kwa Kiswahili hivyo ukiona wamempa airtime ya Kiswahili kwa Kenya ujue amedharaulika kwa kuwa mlengwa wa hizo news zao kwa Kiswahili huwa ni watu wa slums na vijijini.
Wewe ni kiazi kweli! Hujui lolote kuhusu Kenya.
News kwa Kiswahili humu hupeperushwa saa moja na News kwa English husomwa saa tatu usiku.
Nikitazama za Kiswahili kwa mfano chaneli ya NTV, saa tatu ikiwadia nitabadili nitazame KTN isiwe najirudia.
 
Shida ni wasikilizaji na walengwa wa hizo redio na TV za Kiswahili, hakuna mtu anayeheshimika Kenya halafu akatangazwa kwenye Radio/TV za Kiswahili, ukiona wamekutangaza kwa Kiswahili ujue ni dharau kwa maana Wakenya wa maana hawaangalii news za Kiswahili.
Kwahiyo ukitakaje wewe?
 
Kwahiyo umeumia kuongea kiswahili wakati channel hiyo ipo kitaifa na inatambulika?
 
Wewe ni kiazi kweli! Hujui lolote kuhusu Kenya.
News kwa Kiswahili humu hupeperushwa saa moja na News kwa English husomwa saa tatu usiku.
Nikitazama za Kiswahili kwa mfano chaneli ya NTV, saa tatu ikiwadia nitabadili nitazame KTN isiwe najirudia.


Kwa hiyo ukiazi wangu uko wapi sasa hapo?
 
Kwahiyo umeumia kuongea kiswahili wakati channel hiyo ipo kitaifa na inatambulika?


Sijaumia bali nashangaa tu mtu mzima anawezaje kuwa na wivu wa kitoto na uliopitiliza kiasi hicho.
 
Hayo ameyasemea huko kwa Mabeberu au hapo kwa Majirani zetu?
Unachojua jirani ni mipaka tu!
Eti hapo kwa majirani zetu!!! Kenya jirani yako kwa lipi??? Unazani Kenya wana vichwa matope kama Tz???.
 
Back
Top Bottom