Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

Kama mlishindwa kuondoa maisha yake siku ya kwanza basi hamtaweza tena kwa sasa labda mkamroge
Hivi mpaka muda huu hamna mgombea? Huyo alishasema ana wasiwasi na maisha yake kurudi TZ au atakuwa mgombea akiwa nje ya nchi? Sheria inaruhusu dada?
 
Kashafukuzwa ukiona hivyo,time yake kutibiwa imekwisha then lazima arudi kwao
Inawezekana unachokisema ni kweli lakini pia hata huku mahakama inamtaka lazima awepo kwenye kesi yake la sivyo mdhamini wake anaubeba mzigo!
 
Alisema harudi hadi serikali imhakikishie usalama. Labda kishamalizana na serikali. Usiwaamini sana hawa wanasiasa wa Tanzania.
Kwaiyo ulitaka asirudi?
Kwani nchi hii mmiliki ni baba yako?

Mtanzania anahaki ya kuondoka na kurudi nchini muda wowote anaotaka

Ndio hivyo msiempenda kaja, mjiandae kisaikolojia na kuachia madaraka kwa upinzani chini ya Lissu
 
Hawezi kuja TZ labda kwa sababu Sheria za Ukimbizi hazimruhusu, refugee haruhusiwi kwa sheria za Ukimbizi kurudi nchi ambayo aliikimbia, akikanyaga TZ na ukimbizi wa Ulaya bye bye!
Nani Mkimbizi?
 
Lissu Yes ila Zitto hapana kabisa kabisa.

Ana element za u-snitch yule na watu wa kigoma hawaaminiki.

Uko sahihi, lakini kwa afya ya Lissu ni ngumu kidogo kwenye nchi ambazo vyombo vya dola vinatumia mabavu, na kiongozi aliye madarakani anatumia madaraka yake vibaya kupambana na wapinzani wake. Wangalau Zitto ana uthubutu na ana uwezo wa kujenga hoja. Sioni shida kubwa ya Zitto kupewa hiyo nafasi kama tuliweza kumpa nafasi Lowassa, tena akiwa sio mpinzani kabisa, na sasa karejea ccm. Katika mazingira hayo unawezaje kusema Zitto Ni snitch.
 
Ndani ya mwezi mmoja usalama wake umehakikishwa baada ya kudai hawezi kuja Tanzania kwa sababu ya kuhofia usalama wake!

Nimshukuru kwa kutii wito wa mahakama baada ya mdhamini wake kuambiwa na mahakama lazima mtu wake awepo mahakamani au yeye aende segerea!

Wanasiasa wana vituko!

Kwa taarifa yako suala la yeye kurudi baada ya kupona ilikuwa ni lazima, aliposema kwamba anahofia kurejea nchini ilikuwa ni kujaribu kujiwekea mazingira vizuri. Ila usalama wake uwe mzuri au usiwe mzuri lazima angerejea hapa nchini siku moja, na amerejea akiwa anajua fika usalama wake ni mdogo, lakini hiyo ndio dunia. Na wala hana hofu yoyote na mahakama kwani yeye ni mvuvi, hivyo mawimbi hayawezi kumfanya aache kazi ya uvuvi.
 
Khs Afya ya Lissu kuna ka ukweli kiaina lkn inategemea na ye mwenyewe anajionaje kama anahiona yuko fit then apewe chance.

Kwa hio mkuu kama kipindi kile CDM walifanya makosa khs Lowassa then wafanye majaribio tena kwa Zitto?

Au umemsahau kipindi kike Zitto na miamala yake na Tiss ilivyowekwa hadharani?Once a snitch,always a snitch.
Uko sahihi, lakini kwa afya ya Lissu ni ngumu kidogo kwenye nchi ambazo vyombo vya dola vinatumia mabavu, na kiongozi aliye madarakani anatumia madaraka yake vibaya kupambana na wapinzani wake. Wangalau Zitto ana uthubutu na ana uwezo wa kujenga hoja. Sioni shida kubwa ya Zitto kupewa hiyo nafasi kama tuliweza kumpa nafasi Lowassa, tena akiwa sio mpinzani kabisa, na sasa karejea ccm. Katika mazingira hayo unawezaje kusema Zitto Ni snitch.
 
Khs Afya ya Lissu kuna ka ukweli kiaina lkn inategemea na ye mwenyewe anajionaje kama anahiona yuko fit then apewe chance.

Kwa hio mkuu kama kipindi kile CDM walifanya makosa khs Lowassa then wafanye majaribio tena kwa Zitto?

Au umemsahau kipindi kike Zitto na miamala yake na Tiss ilivyowekwa hadharani?Once a snitch,always a snitch.

Kwani huyo Zitto lazima agombee kupitia cdm? Anaweza kugombea kupitia chama chake, na kwa mtazamo wangu anafaa sana kwa nafasi hiyo, isitoshe ana utayari wa nafasi hiyo.

Ni kweli huyo Zito ana mapungufu yake kama hayo uliyotaja, je kuna mtu asiye na mapungufu? Ukimuacha Zitto na Lisu ambaye afya yake ya kimwili kwa sasa inaweza kuwa changamoto, ni nani anayeonyesha kuimudu nafasi hiyo?
 
Kwani huyo Zitto lazima agombee kupitia cdm? Anaweza kugombea kupitia chama chake, na kwa mtazamo wangu anafaa sana kwa nafasi hiyo, isitoshe ana utayari wa nafasi hiyo.

Ni kweli huyo Zito ana mapungufu yake kama hayo uliyotaja, je kuna mtu asiye na mapungufu? Ukimuacha Zitto ni na Lisu ambaye afya yake ya kimwili kwa sasa inaweza kuwa changamoto, ni nani anayeonyesha kuimudu nafasi hiyo?

Kama anagombea kupitia ACT ni fresh tu lkn sio CDM.

Yako Mapungufu yanayovumilika na yasiyovumilika,yaani mtu aliyekua anapewa pesa/funded na wale jamaa ili aigawanye CDM leo ndio aaminike kwny position kubwa hivyo?

Huyu huyu Zitto ambae siku Magu anafungua bunge wapinzani wote walitoka nje yeye pekee akabaki na akasifiwa sana na mzee baba na akategemea atapata mbeleko kama kipindi cha JK,baada ya kubaniwa kwa makusudi nafasi ya kua chairman wa PAC ndipo hasira zake kwa Magu zikapamba moto,isingekuwa hivyo wala alikua fresh tu na serikali.

Bora hata wakina Heche wagombee lkn sio huyo bwn.
 
Zito asipopitishwa na umoja wa wapinzani atapitishwa na chama chake.
Mzee wa sawasawa naye pia namhofia anaweza akapitishwa, anafaa.
 
Inawezekana unachokisema ni kweli lakini pia hata huku mahakama inamtaka lazima awepo kwenye kesi yake la sivyo mdhamini wake anaubeba mzigo!
Mdhamini si analipa fedha tu ambayo hawatashindwa kulipa kisha sasa inabaki jukumu la polisi kumtafuta mtuhumiwa, mbona simple tu.

After all, hii ni 100% kesi ya kisiasa yenye msingi wa chuki inayoendeshwa na serikali ktk kutekeleza ule mkakati feki wa kutaka kuua vyama vya upinzani. Very foolish strategy.
 
Back
Top Bottom