Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

Igweeeeeee Jf
Hatimaye Tundu Lissu amekanyaga ardhi ya Afrika kwa mara nyingine tena

Amewasili Nairobi Kenya kuwashukuru kwa huduma na ukarimu waliompa kipindi akiwa na nyakati ngumu maishani

Siku si nyingi ataanza safari kwa gari akiingia nchini kupitia boda ya Namanga mkoani Kilimanjaro

Wale waliokuwa wamepanga kumtegea hapa Dar JNIA imewakata, imekula kwao, mheshimiwa anarejea!

ni vema Tundu Lissu aje agombee na kuchukua uenyekiti wa chama na hapo 2020 ameshatangaza mwenyewe atapambana na jiwe! hakika tumepata mtetezi na mkombozi

welcome back Lissu
 
Hivi mpaka muda huu hamna mgombea? Huyo alishasema ana wasiwasi na maisha yake kurudi TZ au atakuwa mgombea akiwa nje ya nchi? Sheria inaruhusu dada?
Lissu ni mnafiki sana na mpenda madaraka,sasa akiteuliwa ndio ataamini usalama wake upo salama,mbona anajichanganya sana.
 
Atagombea urais wakati rais aliyeko madarakani hawezi siasa za ushindani? Yeye atakuja kuishia mahakamani au jela.
Mahakamani au jela akiwa na bahati, asipokuwa na bahati ataishia pabaya kuliko hizo sehemu
 
Hawezi kuja TZ labda kwa sababu Sheria za Ukimbizi hazimruhusu, refugee haruhusiwi kwa sheria za Ukimbizi kurudi nchi ambayo aliikimbia, akikanyaga TZ na ukimbizi wa Ulaya bye bye!
Sawa....utakufa tu one day
 
Ndani ya mwezi mmoja usalama wake umehakikishwa baada ya kudai hawezi kuja Tanzania kwa sababu ya kuhofia usalama wake!

Nimshukuru kwa kutii wito wa mahakama baada ya mdhamini wake kuambiwa na mahakama lazima mtu wake awepo mahakamani au yeye aende segerea!

Wanasiasa wana vituko!
 
Back
Top Bottom