Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

bagamoyo, Unajenga kwa jirani kwako kwaporomoka! Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, hakuwa mnafiki. Je huu unafiki wetu tunautoa wapi? Inashangaza, inafikirisha, na inasikitisha sana. Wakati Wakenya wanahimizwa kushikana mikono bila kubaguana kiitikadi, Watanzania wenye madaraka wanawapiga risasi wapinzani wao! Kweli?
 
Kwahizi habari za Lissu frustrations zitamuanza mtu muda si mrefu, zikianzia shinyanga ndio itakuwa balaa moshi wa kisulisuli wa mashangazi wa shinyanga ufanye kazi.
 
Rais Tundu Lissu
Makamo rais Karume,
Waziri mkuu,zito kabwe,

Hahaha,natania tu,Mimi ccm banah
 
Wewe unajua sheria kuliko fundi wa sheria ambaye hajawahi kutokea katika maziwa makuu?

Kama ni refugee huko Ubelgiji hiyo ndiyo Sheria ya refugees wote Duniani na hauhitaji shahada ya Sheria, iko wazi, hauruhusiwi kutembelea nchi ambayo umeikimbia, sasa anaweza kupita njia za panya akaingia TZ bila kujulikana, lkn Muzungu akisikia tu alikuwa TZ anafuta ukimbizi wake, moja kwa moja na hata mimi nikisikia namchoma huko afukuzwe.
 
Mr worldwide, Lissu na Magufuli Ni watu wadogo Sana katika Taifa la Tanzania wote wamelikuta na Wataliacha Wala Taifa haliwezi kutikisika kisa mtu mmoja tu...
Kwa wenye IQ kubwa mtanielewa Ila kwa slow learners you won't understand Me what I mean!
 
Lissu na Magufuli Ni watu wadogo Sana katika Taifa la Tanzania wote wamelikuta na Wataliacha Wala Taifa haliwezi kutikisika kisa mtu mmoja tu...
Kwa wenye IQ kubwa mtanielewa Ila kwa slow learners you won't understand Me what I mean!
Taifa ni kubwa kuliko mtu yoyote katika nchi lakini cha kushangaza mtu ambaye ni mdogo ndiye huliongoza taifa, na niukweli taifa hutikiswa tena sana hata na mtu mmoja tu
ipo mifano mingi tu inayoonesha watu waliotikisa mataifa yao kama Gadafi, Idd Amin, Adolf Hitler, Mussolin na wengine wengi

Kwa nyakati tulizopo teyari Magufuli anatikisa taifa, taifa linayumba

uongozi wa namna hii unamuhitaji Tundu Lissu aje atulize mtikisiko huo hapa nchini
 
Sio rahisi warudie mtindo ule wa risasi tena kwa sasa, ila mahakamani au jela ni lazima maana ndio sehemu pekee wanaweza kutekeleza nia yao ovu, kwa kujificha kwenye mgongo wa sheria.
Huko watampa sumu au chochote Cha kumdhuru kirahisi.
 
Ndani ya mwezi mmoja usalama wake umehakikishwa baada ya kudai hawezi kuja Tanzania kwa sababu ya kuhofia usalama wake!

Nimshukuru kwa kutii wito wa mahakama baada ya mdhamini wake kuambiwa na mahakama lazima mtu wake awepo mahakamani au yeye aende segerea!

Wanasiasa wana vituko!
Kashafukuzwa ukiona hivyo,time yake kutibiwa imekwisha then lazima arudi kwao
 
Heeee, vipi 'Flagyl'? Nani huyo, Jiwe; imekuwaje tena!
Metro ya nini jameni?

Hujui yeye anaitwa 'Pombe' - utachanganyaje hivyo viwili?


🤣🤣🤣🤣🤣nimeanza kwa kucheka kwanza🤣🤣
 
Back
Top Bottom