mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Naunga mkono hoja kwa 100%.
Pia ni Muda wa Kumpa uenyekiti wa Chama lissu
Pia ni Muda wa Kumpa uenyekiti wa Chama lissu
Lisu hawez kumkosesha usingiz jiwe.Ni basi tu kwakua jiwe hana hekima ya ku deal na mambo.Watu wawili ambao wanaweza kuitia kiwewe CCM ni Tundu na Membe tu tuelekeapo 2020. Hawa wameweza kujipambanua vyema, na hata Mh. Rais wanamkosesha usingizi sawia.
Ulipogusa tu kwenye mshiko sasa ndo umepatia sababu sahihiKabla ya kuwaza urais, wapinzani wanapaswa kutafuta namna ya kudeal na hawa wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wakurugenzi wa Halmashauri na wanachama hai kabisa wa CCM. Otherwise ni kujidanganya na kutupotezea muda sisi wapiga kura.
I also think wapinzani wanalitambua hili vizuri sana ila nguvu ya ruzuku inawasukuma kuendelea na uchaguzi tu ili kutimiza wajibu. Siasa kwao ni ajira za kudumu.
Nimefurahi sana kusema upo tayar kupeperusha Bendera ya upinzan kama rais endapo tu chama kitakuteua , Mimi na familia angu tunakugonjea kwa hamu kubwa mno , tena hata bila kupepesa macho , na kwa macho ya tashwishwi kwa pamoja tuna kupenda sana. Well com again . the presda 2b.