Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

Wanasiasa Tanzania hawana maana kabisa mkuu...

Akili ile ile iliyompeleka Lowassa au Sumaye CDM inaweza ikatumika kumpeleka Membe pia...

Unajua 2020 wapinzani hawana cha kupoteza, hivyo wanaweza wakagamble mng'ato,
 
manengelo,
MTESI wake anaweweseka sana, mara sijui kahamia dodoma, mara yupo Dar , mara ziara za kugawa maburungutu ya hela yote hayo ni damu ya LISSU inlia mikononi mwa mhusika/mtesi
 
Kwaiyo ulitaka asirudi?
Kwani nchi hii mmiliki ni baba yako?

Mtanzania anahaki ya kuondoka na kurudi nchini muda wowote anaotaka

Ndio hivyo msiempenda kaja, mjiandae kisaikolojia na kuachia madaraka kwa upinzani chini ya Lissu
Hapana, hata mimi nilisikitika sana aliposema harudi.
 
Wanasiasa by 90% wote ni hovyo tu mkuu.

Mi napambana na hali yangu,hata leo kife Ccm/chadema/Act kwangu ni fresh tu maana hamna kitu nafaidia nacho.

Sure!mm sitakuja msahau mtu anayeitwa Lowasa!hapana jaman..mpk leo nna ganzi bado!shenz zake!..wengine tulijitoa akili na ufaham balaa🤣🤣!
 
Aisee mkuu kweli yaleyale ya Lowassa yakijirudia tena kwa Membe kupewa nafasi upinzani kweli ntastaafu siasa mapemaa maana ntajua tumerogwa mpk mwisho wa dunia.
Wanasiasa Tanzania hawana maana kabisa mkuu...

Akili ile ile iliyompeleka Lowassa au Sumaye CDM inaweza ikatumika kumpeleka Membe pia...

Unajua 2020 wapinzani hawana cha kupoteza, hivyo wanaweza wakagamble
 
Hahah daah pole mkuu,yule mzee ameumiza wengi sana sababu ya kumshabikia yeye.

Kuna watu wengi tu nawajua wamegombana ndani ya familia kipindi kile cha uchaguzi,kuna marafiki zangu biashara zimepigwa pin/full mizengwe mpk sa hivi sababu ya kumshabikia yeye lkn at the end of the day lowassa akarudi alikotoka.

Very Sad
Sure!mm sitakuja msahau mtu anayeitwa Lowasa!hapana jaman..mpk leo nna ganzi bado!shenz zake!..wengine tulijitoa akili na ufaham balaa[emoji1787][emoji1787]!
 
Lisu anasogelea fom ya kugombea uwenyekiti wa chama taifa akiwa nairobi rahisi kuchukuliwa na kuijaza mwenye .
 
Taso,
Hahahaha Africa is one brother. Uwezo wetu ni kutambiana wenyewe kwa wenyewe na kujiibia huu ndiyo uwezo wa juu wa muafrika pindi anapopata elimu, madaraka, hadhi au mafanikio kibiashara.
 
Viva Lissu.Mungu amedhihirika kupitia mateso uliyopitia.
Hakika Watesi wako wanateseka sana,kadri unavyoimarika.






Asante Mungu
 
Hahah daah pole mkuu,yule mzee ameumiza wengi sana sababu ya kumshabikia yeye.

Kuna watu wengi tu nawajua wamegombana ndani ya familia kipindi kile cha uchaguzi,kuna marafiki zangu biashara zimepigwa pin/full mizengwe mpk sa hivi sababu ya kumshabikia yeye lkn at the end of the day lowassa akarudi alikotoka.

Very Sad


Mimi nikikumbuka!🤔🤔!yaan mm ilikua ni oya oya mbayaa 🤣🤣..watu tulitelekeza ndoa kisa lowasa...shenzy zake again!mbaafu zake!
 
Huyo au Zito ndio wanafaa kugombea urais kupitia Upinzani.

: nimewasiliana na Taasisi mbalimbali ulimwenguni juu ya kurudi kwangu nyumbani: Unaonaje kwa uelewa wako wa kawaida kuhusu Hii sentence. Unaamini katika upendo na undugu wa hayo „Mataasisi“. Kwa malipo gani.
 
Kabudi yupi?huyu huyu anaetoa macho na kuongea kwa tashwishi?


Sasa kwa nini mnamfwata fwata na kukosa usingizi naye, Tundu Lisu kajipeleka kwenye TV za Kenya baada ya kuona P.Kabudi anaongelewa Kenya nzima, lkn hakuna hata Mkenya aliyejali kama hataTundu Lisu yupo huko kwanza hata hawamjui Tundu Lisu, sasa kwa nini mnajitesa kujishindanisha na mtu hata asiyejua kama mnamfwata fwata?

Acheni kujishusha hivyo, watoto wako hivyo na siyo ninyi.
 
Hivi na balozi wa Kenya ataitwa 'kutoa maelezo'!? Kwa sababu wao kama majirani hawapaswi wala taasisi yoyote nchini humo kumpatia airtime mtu anayejihusisha na mabeberu. Au hawajasikia msemaji wa serikali na katibu wa chama walivyovionya vyomba vya habari na taasisi zingine!
 
: nimewasiliana na Taasisi mbalimbali ulimwenguni juu ya kurudi kwangu nyumbani: Unaonaje kwa uelewa wako wa kawaida kuhusu Hii sentence. Unaamini katika upendo na undugu wa hayo „Mataasisi“. Kwa malipo gani.

Ni haki yake kwa usalama wake. Sio yeye tu ni watu mbalimbali na hata serikali kushirikiana na taasisi mbalimbali ulimwenguni, kwani wao wanatoa malipo gani? Ulitaka akae kimya kwenye usalama wake ili iwe nini kwa mfano?
 
Back
Top Bottom