Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

Kwani 2015 Mbowe alipobadili gia angani alitaka kugombea urais?!

Wakati ule alikuwa na jeuri ya kufanya atakavyo, saa hii hata kushawishi watu wakapige kura kashindwa, atafanya maamuzi atakayo ataweza wapi?
 
Sio rahisi warudie mtindo ule wa risasi tena kwa sasa, ila mahakamani au jela ni lazima maana ndio sehemu pekee wanaweza kutekeleza nia yao ovu, kwa kujificha kwenye mgongo wa sheria.
You dont know these people, unawa underestimate sana
 
Hivi na balozi wa Kenya ataitwa 'kutoa maelezo'!? Kwa sababu wao kama majirani hawapaswi wala taasisi yoyote nchini humo kumpatia airtime mtu anayejihusisha na mabeberu. Au hawajasikia msemaji wa serikali na katibu wa chama walivyovionya vyomba vya habari na taasisi zingine!


Hiyo airtime aliyopewa Kenya ni dharau sana kwake, hakuna Mkenya anaangalia News kwa Kiswahili hivyo ukiona wamempa airtime ya Kiswahili kwa Kenya ujue amedharaulika kwa kuwa mlengwa wa hizo news zao kwa Kiswahili huwa ni watu wa slums na vijijini.
 
Nashindwa kumuelewa kwenye kauli moja tu;

" Atarudi nyumbani akihakikishiwa usalama wake"

Kauli tata sana hii.
 
Natamani akirudi atangaza hana mpunga ili atupe akaunt tumtumie pesa zakutosha kujikimu maisha naharakatizake ziendelee,pia siunajua wanae pacha wale wanasoma shule kubwa kidogo
lakini huyu amegharamiwa mzee baba na watz wenye nia njema!sidhan km alisumbuka .mayb upweke
 
Kwani Kabudi ni nani, si kawekwa kupiga debe la boss wake??
Lisu atarudi tuu muda ukiwa tayari.
Anatosha kuwa Rais na kutuletea katiba nzuri ya Jdg Warioba nchi yetu iongozwe kwa Demokrasia bora sio ubabe!!
 
Hiyo airtime aliyopewa Kenya ni dharau sana kwake, hakuna Mkenya anaangalia News kwa Kiswahili hivyo ukiona wamempa airtime ya Kiswahili kwa Kenya ujue amedharaulika kwa kuwa mlengwa wa hizo news zao kwa Kiswahili huwa ni watu wa slums na vijijini.

Ni vizuri kapewa aongee na wanyonge, kuna redio na TV kibao za Kenya zinatangaza kwa kiswahili, au unadhani hatupajui hapo Kenya?
 
One of the best Tundu Lissu interviews.

Crisp and professional, yet passionate enough.
 
Ni vizuri kapewa aongee na wanyonge, kuna redio na TV kibao za Kenya zinatangaza kwa kiswahili, au unadhani hatupajui hapo Kenya?

Shida ni wasikilizaji na walengwa wa hizo redio na TV za Kiswahili, hakuna mtu anayeheshimika Kenya halafu akatangazwa kwenye Radio/ TV za Kiswahili, ukiona wamekutangaza kwa Kiswahili ujue ni dharau kwa maana Wakenya wa maana hawaangalii news za Kiswahili.
 
Taso,
What if mwandishi alitaka Tundu Lissu mwenyewe atamkie/ awathibitishie Wakenya kuwa amevuliwa ubunge?
 
Kwani Kabudi ni nani, si kawekwa kupiga debe la boss wake??
Lisu atarudi tuu muda ukiwa tayari.
Anatosha kuwa Rais na kutuletea katiba nzuri ya Jdg Warioba nchi yetu iongozwe kwa Demokrasia bora sio ubabe!!
Muda haujawahi kuwa tayari
 
Hiyo airtime aliyopewa Kenya ni dharau sana kwake, hakuna Mkenya anaangalia News kwa Kiswahili hivyo ukiona wamempa airtime ya Kiswahili kwa Kenya ujue amedharaulika kwa kuwa mlengwa wa hizo news zao kwa Kiswahili huwa ni watu wa slums na vijijini.
Aisee, kuwa Kiswahili ni lugha ya watu wa slums!?
Si unajua kuwa hizi channels pamoja na programs za Kiswahili kwenye TV za Kenya na Uganda wameziweka kwa lengo la ku-bridge gap kati yao na Tanzania na the like?

Lakini pia ni vizuri kukumbuka kuwa huenda TL mission yake inabase zaidi kwa wakaazi wa slums ambapo hapa wanaitwa WANYONGE maana ndio wamekuwa oppressed na mifumo na wanahitaji ukombozi wa pili.

Pia, usisahau Bobi Wine amejipambanua kabisa kuwa ni mtu wa ghetto, M7 alidhani ni utani mwanzoni lakini baada ya kugundua nguvu ya 'ghetto' (wazee wa slums) naye sasa ameanza kwenda huko ili kuwa karibu nao.
Kwa kifupi ni kuwa hii interview huenda ilikusudiwa kwa watz na ndio maana usije kushangaa kuwa waliokuja kuishare kama mimi nilivyoikuta hapa ni Watanzania ambao ndio walengwa!
 
Back
Top Bottom