Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Karopoka nini kiongozi!?Hadi sasa hivi aliyeropoka msibani ni Makonda
Basi ndio sababu Lisu amehuzunika sana..Lowassa na mke wake walikwenda kumuona Lissu alipokuwa amelazwa Nairobi.
Ya Lisu au ya Walinzi wake?Bila picha?
Wanaandika namna ulivyomfahamu marehemu na mahusiano yenuNje ya mada kidogo .. kwenye kile kitabu wanasaini na kuandika kitu gani?
Yeye Lissu wa ngapi Kwa ushawishi?
Tundu Lissu amefika kwenye Msiba wa Lowassa kuhani na kuwapa pole Wafiwa , ambapo amemmwagia sifa Lowassa na kuzungumza kwamba baada ya Nyerere Lowassa ndiye Mwanasiasa aliyefuatia kwa Ushawishi .
Amedai kwamba wanasiasa wengi waliokufa na hawa waliopo walipata umaarufu baada ya kuwa Marais , lakini bado hawakumzidi Lowassa ambaye hakuwahi kuwa Rais na hata huo Uwaziri mkuu wake ulikuwa wa miaka miwili tu .
Tundu Lissu amesema pamoja na kuhudhuria msiba wa Lowassa lakini amekuja pia kumfariji Mama Regina Lowassa ambaye alikuwa Mwalimu wake miaka 41 iliyopita alipokuwa Kidato cha kwanza .
Mbona hujaandika kama amesema kuwa ni mwanasiasa aliyekuwa upinzani na akapata kura nyingi za Urais kuwa kutokea….
Tundu Lissu amefika kwenye Msiba wa Lowassa kuhani na kuwapa pole Wafiwa , ambapo amemmwagia sifa Lowassa na kuzungumza kwamba baada ya Nyerere Lowassa ndiye Mwanasiasa aliyefuatia kwa Ushawishi .
Amedai kwamba wanasiasa wengi waliokufa na hawa waliopo walipata umaarufu baada ya kuwa Marais , lakini bado hawakumzidi Lowassa ambaye hakuwahi kuwa Rais na hata huo Uwaziri mkuu wake ulikuwa wa miaka miwili tu .
Tundu Lissu amesema pamoja na kuhudhuria msiba wa Lowassa lakini amekuja pia kumfariji Mama Regina Lowassa ambaye alikuwa Mwalimu wake miaka 41 iliyopita alipokuwa Kidato cha kwanza .
Swali lako ni zuri ila tutajibu baada ya kuzikaYeye Lissu wa ngapi Kwa ushawishi?
Asante kwa kunikumbushaMbona hujaandika kama amesema kuwa ni mwanasiasa aliyekuwa upinzani na akapata kura nyingi za Urais kuwa kutokea….
Unafiki wao mkubwa sana ..ajabu wafuasi wao kila wanapobadilika wapo nao...nyumbu Wana tabu sanaWanasiasa na unafiki ni pichu na kalio
Unamuonea wivu Lissu au Lowassa ?Unafiki wao mkubwa sana ..ajabu wafuasi wao kila wanapobadilika wapo nao...nyumbu Wana tabu sana