gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Unafiki uko wapi hapo.au akili zenu ndogo mnashindwa kutofautisha mambo.Lissu yuko sahihi,mfano mdogo ni shule za kata,isingekua ushawishi wa lowasa shule za kata zisingejengwa kwa kiwango hicho nchi nzima.labda kama umezaliwa juzi ndo utakua hujui jinsi alivyokua mstari wa mbele kuhamasisha jambo hilo.sasa hilo halihusiani na makando kando yake mengine.Tumia akili zako vizuri.Unafiki wao mkubwa sana ..ajabu wafuasi wao kila wanapobadilika wapo nao...nyumbu Wana tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app