Lissu: Baada ya Nyerere aliyefuatia kwa ushawishi alikuwa Lowassa

Lissu: Baada ya Nyerere aliyefuatia kwa ushawishi alikuwa Lowassa

Unafiki wao mkubwa sana ..ajabu wafuasi wao kila wanapobadilika wapo nao...nyumbu Wana tabu sana
Hilo huwa linan8fikirisha sana mpaka nafikia kusema kuwa kuna nguvu za giza zinatumika, si buere. Maana kuna mengine yapo wazi kabisa lakini utashangaa watu wanavyojitoa ufahamu na kutetea
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu leo amefika msibani nyumbani kwa hayati Lowasa na kusaini Kitabu cha Maombolezo

Lisu akiwa na Walinzi wake alionekana Kuwa mtulivu na mwenye huzuni moyoni

Rip Edward Lowasa

Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu

Mlale Unono

Mwungwana yeyote hawezi kuwa na mbwembwe msibani:

GGIfDGUWQAAQE2r.jpeg
 

Tundu Lissu amefika kwenye Msiba wa Lowassa kuhani na kuwapa pole Wafiwa , ambapo amemmwagia sifa Lowassa na kuzungumza kwamba baada ya Nyerere Lowassa ndiye Mwanasiasa aliyefuatia kwa Ushawishi .

Amedai kwamba wanasiasa wengi waliokufa na hawa waliopo walipata umaarufu baada ya kuwa Marais , lakini bado hawakumzidi Lowassa ambaye hakuwahi kuwa Rais na hata huo Uwaziri mkuu wake ulikuwa wa miaka miwili tu .

Tundu Lissu amesema pamoja na kuhudhuria msiba wa Lowassa lakini amekuja pia kumfariji Mama Regina Lowassa ambaye alikuwa Mwalimu wake miaka 41 iliyopita alipokuwa Kidato cha kwanza .
Alifanya utafiti wapi huyo mropokaji???? Atuonyeshe utafiti wake. Huyu si ndio alisema Lowassa ni Fisadi pale mwembe Yanga. Au amesahau tena.
 
View attachment 2902251
nimeipenda hii picha jinsi mzee👆 mwenye hekima aliyevaa kibagalashia anavyomsikiliza Lisu nukta kwa nukta
kwa umakini wa hali ya juu,akiwa kaweka mikono nyuma😁

..huyo Mzee mwenye kofia ni Bwana Mgeja rafiki mkubwa wa Lowassa ambaye alijitoa Ccm akiamini kwamba haki haikutendeka ktk uteuzi wa mgombea Urais kupitia Ccm 2015.
 
Back
Top Bottom