Lissu: Baada ya Nyerere aliyefuatia kwa ushawishi alikuwa Lowassa

Unafiki wao mkubwa sana ..ajabu wafuasi wao kila wanapobadilika wapo nao...nyumbu Wana tabu sana
Hilo huwa linan8fikirisha sana mpaka nafikia kusema kuwa kuna nguvu za giza zinatumika, si buere. Maana kuna mengine yapo wazi kabisa lakini utashangaa watu wanavyojitoa ufahamu na kutetea
 

Mwungwana yeyote hawezi kuwa na mbwembwe msibani:

 
Alifanya utafiti wapi huyo mropokaji???? Atuonyeshe utafiti wake. Huyu si ndio alisema Lowassa ni Fisadi pale mwembe Yanga. Au amesahau tena.
 
View attachment 2902251
nimeipenda hii picha jinsi mzee👆 mwenye hekima aliyevaa kibagalashia anavyomsikiliza Lisu nukta kwa nukta
kwa umakini wa hali ya juu,akiwa kaweka mikono nyuma😁

..huyo Mzee mwenye kofia ni Bwana Mgeja rafiki mkubwa wa Lowassa ambaye alijitoa Ccm akiamini kwamba haki haikutendeka ktk uteuzi wa mgombea Urais kupitia Ccm 2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…